Baby Kabae ana mvuto mno ni kati ya wanawake wa daraja la kwanza Tanzania

Acha wivu mkuu hebu muangalie kwenye kipindi anavyoitendea haki taaluma yake angalia tabasamu lake angalia mwanya wake angalia dimpoz zake angalia miguu na vikuku vilimvyokaa kiufupi amekamilika.
Eheeee....
Sasa hapa nimekupata mkuu...
Tabasamu, mwanya, dimpoz, miguu, vikuku n.k
Hapa Umeongelea physic yake, na ndio vimekuvutia.
Suala la uzuri ni jingne.

Hata jiwe nami nikitaka kumuelezea
Nitasema ana kipara km boga, kichwa km korosho,
Kidevu km kipande cha kashata, n.k km vimenipendeza basi nami nitasema ni Handsome 😝😝😝mungu anisamehe.

Kwaio sidhani km physic ya mtu inatosha kusema ni mzuri..

Hilo la kua vzr upstairs siwezi sema chochote mana simjui, pengne ni kweli km wengine wanavyosema
 


Mkuu umetoka kukurupuka kunya, picha iko wapi?
 
Tuwekeeni kwanza CV yake maana yuko very blight huyu mama,, Hassan Ngoma akasomeee
 
Jf bhana yani kila mtu kwenu ni mbaya!

Wekeni picha zenu hapa tuwaone basi.

Wengine sura zenu mbaya utadhani ndama aliefia kichakani lkn nyuma ya keyboard mwajiona........acheni hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Em kuwa serious na ww.. Kuna nini pale!?
Huyu mwenzio corona ishaanza mtafuna macho.
 
“ohooo baby mi gonna cum mi gonna got a gwan,touch that rastaaa!!!! pull it nigga mi gonna cumm,yeah babylon yeeessss!!! say Hi to rasta ohhhh yessss!!!!”
🤣🤣🤣🤣
 
Aisee... nimejaribu kukupatia picha bwqna Superbag na nimehis ww nawe unaweza ukawa mdingi kwel kweliii.
Anyways, kipendacho roho, hula nyama mbichi
Hapana mkuu Mimi nipo kwenye 30+ na ni modern man nimezunguka nchi nyingi duniani ikiwemo kukaa Italia kwa miaka minne katika miji ya Naples Turin Genoa Milano na Roma kwahiyo nikisifia kitu ujue nimekilinganisha na mengi na vingi nilivyoviona duniani.
 
mkuu, tupe connection basi vijana wenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…