"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa


Change your mentality,
Ndio maana wanaume uwa tunawatumia wanawake kama viburudisho because mna mawazo ya Aina hii

Ww Hadi kupendeza kwako mwenyewe ukawa na muonekano mzuri unataka mwanaume ndio akufanyie?

Jipende mwenyewe kwanza kwa kuweka level ya status yako then ndio mwanaume aje kuongezea

Mwisho wa siku hata Ped utataka mwanaume akununulie means kama mwanaume hujampata utaweka majani au
 

Absolutely
 
Hapo ndo tunapo tofautiana, wewe unaona mzigo ila mm sioni mzigo kwasababu nimeamua kijimilikisha.

Hata mm mpenzi wangu anafanya kazi ila hela zake ni za kwake, mimi sitaki hata kuziona.
Hata mi sitaki kuziona zake ila kuna majukumu nimempa atazitumia huko. Mi sifugi mwanamke kama mfugo, lazma awajibike nje ya sex.
 
Sijui kwa wanawake wa siku izi wanaona ni Haki yao kila wanachoombwa wapewe!!!Yan hawana tofaut na watot wadogo kweny uwezo wa kufikir
 
Sijui kwa wanawake wa siku izi wanaona ni Haki yao kila wanachoombwa wapewe!!!Yan hawana tofaut na watot wadogo kweny uwezo wa kufikir

Na hakuna chochote wanachofanya au kuongeza value Yao,
 
Hata mi sitaki kuziona zake ila kuna majukumu nimempa atazitumia huko. Mi sifugi mwanamke kama mfugo, lazma awajibike nje ya sex.

Lazima aongeze value ya kitu anachoringia yy kupata pesa kutoka kwa mwanaume

Otherwise ni useless

Ndio maana now tunapangana Tu

Mwanamke ana wanaume sita na mwanaume ana madem 100
 
Mkuu tatizo huwa sio kumpa hela mwanamke...... Tatizo ni namna mwanamke anavyotaka umpe hizo hela
Just imagine mwanamke anakasirika kuambiwa kapendaza kwasababu mwanaume aliyemuambia hajanunua yeye hilo gauni na wigi...... tafsiri yake ni kwamba ni wajibu wa mwanaume kumgharamikia kila kitu huyo mwanamke ili akiambiwa asikasirike.

Mkuu watu wanahonga mwanamke hadi unaogopa sio kwasababu wameombwa tu, ni kwasababu mwanamke amemuonyesha mwanaume umuhimu wake zaidi ya kumpa sex

Ukweli ni kwamba wanawake wengi sana ni wavivu hawana kazi za kufanya, kitu pekee anachokitegemea maishani mwake ni kupata mwanaume amuo ili abebe jukumu la kumuhudumia.... HII NDIO NDOTO YAO KUBWA
 
Na hakuna chochote wanachofanya au kuongeza value Yao,
Unakuta boy wake anapambana hata wapate kapagala ka kujihifadhi ila lenyew linawaza kuvaa vizur ili likawavutie wanaume wengine huko..wa dizain hii ni kuwajaza kwenye lorry moja na kumwagia kwenye mto wenye mambaa...wanachangia sana kuharbu hiki kizaz
 

Very true,
Unajua wanawake wanastory nyingi sana za uongo wakikaa huko salun na kwenye magroup Yao

Na uwa hawaambiani ukweli yan hawatoi codes

Unakuta dem anasema mtu wangu kaninunulia gari, ila hasemi kuwa last 2 months mtu wangu alikuwa broke, nikauza cheni zangu, nikamkopea ela vikoba,

Now mambo yake Safi ameninunulia Prado

Sasa wanawake wale wajinga wanajua Prado imepatikana Kwa kuvua nguo tu
 
Good hii dunia ya leo kila jinsia inatakiwa kufundishwa kujitegemea, hata wanaume wanatakiwa kufundishwa kujitegemea kwenye vitu vidogo vidogo kama house chores, wanawake kuwa tegemezi kulitokana na mgawanyo wa majukumu uliowekwa na wazee wetu kwahiyo wote wabadilike
 
Kabisa.. Dunia imebadilika na sisi inabidi tubadilike. Fikiria mtoto wa kike yupo extremely dependent kiasi hicho, akikutana na manyanyaso makali kwenye ndoa au mume wake akayumba kiuchumi, atafanya nini
 
Mke tunatunza vizuri tu, lakini nyie mnotaka kutunzwa kwenye mahusiano yasiyo rasmi ndio tunawaita mbwa na omba omba.
Hivi mbona kwenye masuala ya kupewa ngono, heshima pamoja na kufanyiwa baadhi ya majukumu humo kwenye mageto yenu huwa hamsubiri hadi muoe, huwa mnataka wapenzi wenu watimize majukumu yote ya mke ila ninyi hamtaki kutumiza majukumu ya mume eti hadi muwaoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…