Mwanamke hajawahi kuwa tegemezi, bali rafsiri, hata anayekaa nyumbani huku aki manage familia huyo ni mfanyakazi kamawafanyakazi wengine......Good hii dunia ya leo kila jinsia inatakiwa kufundishwa kujitegemea, hata wanaume wanatakiwa kufundishwa kujitegemea kwenye vitu vidogo vidogo kama house chores, wanawake kuwa tegemezi kulitokana na mgawanyo wa majukumu uliowekwa na wazee wetu kwahiyo wote wabadilike
Hivi mbona kwenye masuala ya kupewa ngono, heshima pamoja na kufanyiwa baadhi ya majukumu humo kwenye mageto yenu huwa hamsubiri hadi muoe, huwa mnataka wapenzi wenu watimize majukumu yote ya mke ila ninyi hamtaki kutumiza majukumu ya mume eti hadi muwaoe
Upo sahihi cutelove
Unapoamua kumtongoza mwanamke awe mpenzi wako au mke wako ina maanisha umejimilikisha, na umeziba milango ya wanaume wengine kuingia.
Sasa kama umejimilikisha alaf hutaki kuhudumia, ndo una maanisha nn??
Si uwaachie wenzako wanaoweza kuhudumia, hapa naamisha chakula, malazi na mavazi
Mi huwa najisikiaga raha sana nikimnunulia mpenzi wangu gauni akalivaa likampendeza, au nikimpa hela akaenda kushonesha kwa fundi, siku mkiwa na mtoko hata ukimsifia sio wewe tuu utakayesikia raha, hata yeye mwenyew, ile furaha anayojisikia kwamba nimependezeshwa na mpenzi wangu inazidi kuongeza upendo na heshima kweny mahusiano yenu.
Tuacheni kukwepa majukumu, katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, mwanaume lazima u-play part kubwa kuzidi mwanamke.
Naamini hii mentality ya kipuuzi kabisa huwezi kuja kuwapandikiza mabinti zako mkuuMwanamke hajawahi kuwa tegemezi, bali rafsiri, hata anayekaa nyumbani huku aki manage familia huyo ni mfanyakazi kamawafanyakazi wengine......
Ndio maana ana ombaomba..,KWAPA tu linamshinda! Alafu sura imekomaa daah!Mkuu, umependeza sana kwenye Avatar.
Hiyo nguo imekutoa barabara. Ila kwapa kama vile linapata uweusi kupitiliza. Usitumie sana Deodorant. Ama la, nunua zile Classic.
In short wewe hujawahi kumanage familia.Naamini hii mentality ya kipuuzi kabisa huwezi kuja kuwapandikiza mabinti zako mkuu
Na ndio maana wanawake wengi sana hii ndio βajiraβ pekee wameikodolea macho....... ukimu approach siku ya kwanza tu anaanza kudai ujira π
[emoji23][emoji23][emoji23]Unakuta ana 7,800 tu.
Kwani wewe ni Mlemavu?Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Wewe cute mbona povu sana unadhani wanaume wote tunafanya hivyo wewe mzodoe huyo huyo zoba wako wengine tuache huru.Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Yote niliyoyataja hapo, ndio kwani kuna mwanaume anaweza kuwa na mwanamke ambaye hampi sex, kutoa sex ni jukumu kwa kila jinsiaJukumu gani? Kutoa sex ni jukumu?
So ikitokea umepata Ajari na uwez tena kufanya sex Kwa mwaka mzima means utakuwa out of market?
Mnajipa majukum kwa lazima baadae mnataka kujiua wakiwatosa.Upo sahihi cutelove
Unapoamua kumtongoza mwanamke awe mpenzi wako au mke wako ina maanisha umejimilikisha, na umeziba milango ya wanaume wengine kuingia.
Sasa kama umejimilikisha alaf hutaki kuhudumia, ndo una maanisha nn??
Si uwaachie wenzako wanaoweza kuhudumia, hapa naamisha chakula, malazi na mavazi
Mi huwa najisikiaga raha sana nikimnunulia mpenzi wangu gauni akalivaa likampendeza, au nikimpa hela akaenda kushonesha kwa fundi, siku mkiwa na mtoko hata ukimsifia sio wewe tuu utakayesikia raha, hata yeye mwenyew, ile furaha anayojisikia kwamba nimependezeshwa na mpenzi wangu inazidi kuongeza upendo na heshima kweny mahusiano yenu.
Tuacheni kukwepa majukumu, katika mahusiano ya mwanaume na mwanamke, mwanaume lazima u-play part kubwa kuzidi mwanamke.
Ulipewa karipio?π€£π€£Watanipiga ban mkuuπππ
Na ban juu mkuuUlipewa karipio?π€£π€£
Ni wivu tu, mbona wadudu wa Arusha wameitwa hadi Ikulu!Na ban juu mkuu
Mwanamke kusifiwa humfanya ajisikie vizuri, sema wewe una makasiriko yako tu πππUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.