"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Umalaya tu
Unae pendeza ni wewe usumbue wanaume
Mwili ni wako.
 
Mwanamke uzaliwe mrembo,we kama ni sura ya baba jipambanie,mie nachotaka utelezi,urembo utajua ww
 
Yote niliyoyataja hapo, ndio kwani kuna mwanaume anaweza kuwa na mwanamke ambaye hampi sex, kutoa sex ni jukumu kwa kila jinsia

Kumbe unajua ni jukumu la kila jinsia that's nice
 
Kumbe bado upo Mwanza my?
 
Wachague nini chakufanya na kipi sichakufanya, hatuwalazimishi lakini nawao tunajua wanafanya Kwa nini.
 
Na yeye anavyovaa akawa smati ukamuona anafaa na anakupa date wewe unachangia f3dha kiasi gani? Ndio sababu hamuolewi. Kazi kuzipigia bajeti pesa za wanaume. Tafuta pesa yako ujipambe. Pesa ya mwanaume uione kama jela. Hapo utajikomboa. Nilishangaa mama jirani anashangilia watoto wa kike kuitwa na marafiki wakiume wakafurahie maisha beach yeye anaona ni haki hafikirii pesa za kijana zinavyoungua. Mwanaume hawezi kufurahia hiki kitendo
 
Kama kupendeza kwangu kutakuwa ni ombaomba,kazi yako kwangu ni sex: umarioo huo,kweli wanaume walikuwa enzi za mababu zetu walahi!!!! Ko wewe unataka sex tu,kisa ukiomba kitu fulani utaitwa ombaomba na mwanaume!!!!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na enzi za mababu zetu wanawake walikua hawahudumiwi na wasio waume zao. Walikua hawadangi na walioolewa walikua wanakaa nyumbani hawazuruli wala kutafuta kwasababu walikua na jukumu moja tu kumfurahisha mume na kulea watoto.
Wewe pia kaa nyumbani ulee watoto na usitegemee asie mumeo akulee labda kama kuna kitu unamuuzia.
 
Huyu nae ni taifa la kesho...
 
So kama haja gharamia asikusifie au!!
 
Kumbe unajua ni jukumu la kila jinsia that's nice
Ndio kwahiyo kama mwanaume hatimizi majukumu kwa mwanamke wake basi asitegemee na mwanamke naye atimize majukumu kwake haijalishi majukumu gani
 
Wachague nini chakufanya na kipi sichakufanya, hatuwalazimishi lakini nawao tunajua wanafanya Kwa nini.
Huwa mnasema hamuwalazimishi lakini wasipofanya mnawaacha kwa kisingizio kwamba hawana sifa za mke, yani huwa mnatumia vitu kama hivyo kama kipimo cha mke, ila ninyi hamtaki kuwahudumia mnasingizia eti ni hadi mkiingia ndoani
 
Kwenye suala la ngono huwa tunaangalia mwenye uhitaji zaidi na anayepata hasara zaidi kuliko mwenzie, ndio wanaume wengine wanatumia hayo majukumu kama kipimo cha kuona kuwa huyu mwanamke anafaa kuoa au hafai, heshima ninayozungumzia ni ile ya mwanamke kumsikiliza mwanaume mwanaume siku zote hutaka kusikilizwa na mwanamke haijalishi ni mke au mpenzi tu
 
Sasa kujipendezesha si maamuzi binafsi hata ukiamua kukaa rafu kama kutiwa utatiwa tu😁! Kujilisha ni wajibu wako kama mtu mzima sasa ulitaka nani akulishe kama ushahama kwa wazazi wako? Kama huwezi kujilisha rudi nyumbani ukawe mtoto mwema.
Mkuu kwenye suala la kuhonga huwa unawakazia kinouma, kwa nini unagoma kuhonga mkuu?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Urembo ni wako halafu nichangie mimi? Kwani kusifia ni kosa, mama yako, baba yako, ndugu zako mbona hawajakuchangia na wakikusifia unajiskia vizuri hautapiki? [emoji848]

Ujinga mwingine muwe mnaacha primary school, huku juu hekima ni muhimu. Sasa kama sina hela nifanyaje?

Kama hela ipo utasaidiwa ila usifosi kuwa ni lazima upewe unachotaka hata kama hakipo, hizi entitlement mentality mnatoaga wapi lakini? [emoji848]

Nyie mbona mkinenepeana kama viboko sisi wanaume tukitaka muwe portable shape huwa hamtupi tunachokata, mnaishia kujitetea "ooooh nimekubebea watoto wako halafu unaniponda shape yangu kukorongonyoka" how is this any of my business? [emoji848][emoji848] Me nataka portable shape sio malalamiko na kujitetea huwezi tulia nikatafute vitoto vidogo the same way wewe niliposhindwa kukulipia hela ya saloon wakati najitafuta haukunipa benefit of patience and kindness ukaamua kutafuta wenye hela wakukule ili upate hela ya saloon.

Loyalty goes both ways, acheni entitlement mentality za kitoto kujiona ninyi ndio kila siku mnakosewa wakati wanaume tunayetu ya kusema ila tunakaa kimya kuwasitirini. Wewe vumilia vya mwenzako kukosa ili na wewe siku ukishindwa mpatia anachotaka akupe heshima yako.

Acheni kuwashame wanaume financially, kwani wanaume wanapenda kutokuwa na pesa za kuwatoa out, kuwanunulia vizawadi vya kipuuzi, kuwapa mahitaji yenu?

Wanatamani ila nyakati za sasa ni ngumu sana, wanawake tamaa zenu zipo juu kushinda uwezo na fursa za kiuchumi ni za kumendea sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…