"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Huo n
Unazani upo peke yako?
 
Maisha yatambadilisha,
Najua mtoto ni binadamu, hata mimi sipo vile wazazi wangu walitegemea niwe hivyo hata yeye akibadilika ni yeye ila one day atakaa na kukumbuka kuwa alijipoteza mwenyewe.

Na ninavyoongea hivi sio kwamba ni vitu imaginary. Kuna watoto wa kike najuana nao. Ni warembo sana lakini wanavyochangamsha ubongo kusaka life, hadi mwanaume unakaa chini kuchukua madini. Na hii ndi circle ya shangazi atazokutana nazo, kwa hiyo akiwa mjinga, aamue mwenyewe
 
Nimechekaa, sio kila unachokiona ni sahihi kuwa kipo hivyo, kuna muda macho yanadanganya.

.......
 
Ndo tunapima kama utaajibika kunitunza utakaponioa au utanioa niende kuzeeka mapema ,Kama uchumbani uliajibika ipasavyo huko mbeleni ni raha,Kama uchumbani uliniita ombaomba huko mbeleni ni majanga
Uchumba ni stage rasmi, nampaka mtu kakuchumbia maana yake kaleta barua kwenu yakuomba kibali Cha kuruhusiwa kua na wewe hapo mwanaume atakutunza kadri ya uwezo wake. Lakini sio hajatangaza hata nia ya wewe kua mkewe bado mpo Kwa kujiiba iba hufahamiki kwao Wala yeye kwenu hafahamiki ile ki Rasmi unataka utunzwe, sio kweli. Endelea kuwa omba omba utapata wanaume wasiojitambua wanaoteteresha uchumi wao Kwa kuhudumia wanawake ambao hawajui kama watakua wake zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…