"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Akishawekeza kwako wewe unawekeza nini kwake? Kupanua miguu tu?

Mavazi yako unataka mwanaume ashiriki.
Kula kwako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,
Makazi yako unataka ashiriki,

Kinachoshangaza zaidi hata wale wanaofanya kazi wanajigeuza wategemezi. Wewe unachangia nini kwenye mahusiano?
 
Mbona mnalazimisha sex kabla ya ndoa kwa nini msisubiri Kama mababu zetu
 
Kuzaa
 
Mbona sijasema ambavyo wee umesema, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii umeitoa wapii? Woiiiiiih
 
Siwezi kusifia kwa kitu ambacho nimekigharamia.... Yaani nikupendezeshe kisha nikusifie umependeza? kwa pesa yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…