Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
We ni muuzaji kama wauzaji wengine. Kila mmoja apambanie kombe lake.Why they do need my body? They should make up
What about reproduction? We deliver babies then they given the husband's namesπ€π€π€πππ
Remove sex from a relationship, women have nothing to offer. Is it true?'
Remove sex from a relationship you will discover that over 90% of women have nothing to offer in that relationship. Remove money from a relationship you will discover that over 90% of women see no reason to be in that relationship!www.jamiiforums.com
Absolutely bro π―π€π€π€πππ

Muuzaji proWhat about reproduction? We deliver babies then they given the husband's names
Na ukiona mwanaume anakomalia sex kabla ya ndoa ogopa huyo mtu Kama virus ,anataka uwe single momUkiona MTU analalamika kwa haya mambo usioe wala kuolewa naye
Chakula
Nguo
Makazi
Hayo ndo mambo rahisi kuyapata hapa duniani ukiona MTU analalamika Sana kuhusu ,chakula,nguo, sehemu ya kulala basi ujue hauna mwanamke.
Lakini sisi ni ma superwoman si eti,,,,haina haja ya kuhudumiwa.Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Acha umariooo! Mtatunziwa sana na Kama ndivyo kuwa hanithiWe ni muuzaji kama wauzaji wengine. Kila mmoja apambanie kombe lake.
Mwanamke mtegeme kuni sehemu zake za siri zitapata shida sana.
Tafuta kazi ya kufanya acha kuwa tegemezi kwa mwanaume...kwa maana nyingine acha tabia ya kuwa m.a.l.a.ya na kujiuza .
Kwani kupendeza hadi akupendezeshe mwanaume? Zero Brain kabisa
Mkataba huo wa kuutunza uliandikwa wapi? Babaako akikutunza inatosha na tuone kama utampa mbunye akusugue yeye.Mbona unautaka na huutunzi?
Kaeni pembeni tumshughulikie...Wakuu mmepaniki ππ
Who needs πthat fugly housingπWhy they do need my body? They should make up
Tujitahidini sana kuwafundisha mabinti zetu kwamba wao ni binadamu kamili na wenye uwezo kama binadamu yeyote kujitafutia mahitaji yaoUnakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*
Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa
Kona ya Bwiru
Kwahio wajibu wa mwanaume ni kukupa wewe hela za nguo na makeup tu?πWajibu wa mwanaume siyo kukwepa majukumu,mpendezeshe msifie
NAKAZIA WEWE NI PROFESSIONAL PROSTITUTE!Acha umariooo! Mtatunziwa sana na Kama ndivyo kuwa hanithi
Na ukiona mwanaume anakomalia sex kabla ya ndoa ogopa huyo mtu Kama virus ,anataka uwe single mom