60% ya watumishi hawana uwezo naa ndio hao wapo nafasi za juu ,wale walioingia kweny utumishi kwa uwizi.
Kumleta mzungu bila ya team yake ni nadra sana ndio maana hata makocha wakija wanataka wachezaji fulani wanaoendana nao...Mkuu nimefanya kazi kweny mashirika ya umma mengi ila ukweli usemwe hapa nimefunga.
Wabongo ni wapenda starehe na kama upo nondo lazima uletewe zengwe , watanzania ukiwaweka sehemu basi ni umbea tu.
Mwaka fulani nyuma ,siku moja huduma zilichelewa maana pale ofisini watu walihost part ya HDB ya kijinga ...Mda wa kutoka mtu hana mda wa kuangalia foleni ya wanaotaka kutoa huduma yeye anaondoka ikiwa lengo la kutoa huduma kwa siku bado hatujafikia .
Wanawake ni kichefuchefu hizo excuses mara mwanae kafanya hivi ni hatari sana ,kuwahi napo ni ovyo.
Haya mambo hata chuo ndio hivyo hivyo ,mkipanga discussion kesho basi excuses kibao hata kufika ni kutegeana ila watu wanataka wawe kweny front pages pale hata kwa kuhonga.
Sababu kubwa👉 watanzania wengi hawapendi kazi wanazofanya ,wanachoshwa na kazi zao mapema zaidi ndani ya miaka 3 tu..Hawana morale kabisa siasi ni nyingi .
Ushauri👉 kijana umri wa ujana ni wakufanya kazi kwa bidii ili kufika mbali ,hayo mambo mengine hayana mpango maendeleo ni muhimu kwa kizazi chako kuliko hizo bata unazokula .