Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

Bado kitambo kidogo Tundu Lissu ataungana na makonda kwamba Hayati Magufuli was a "Good Man "

Kuna jirani yangu hapa Chadema damu damu, juzi tunapiga vyombo akasema anahisi Mbowe ni sehemu ya waliopanga njama za kumuua Lissu, kwa umri wake 60+ na mazingira yetu ya kijijini maneno yake yanafikirisha Sana!
Yanafikirisha kwa wapumbavu
 
Kitu nikichogundua humu jukwaani wote wanaotumia majina yao halisi ni wapuuzi karibu na upumbavu. Ni wachumia tumbo wanaotaka teuzi na hawawezi kusema kweli, nitajieni mmoja mwenye akili
 
Mtaji wa mwanasiasa ni maneno. Leo atasema hivi, ila kesho atakwambia alimaanisha vile - ilimradi tu mkono uende kinywani.

BTW, siasa ni sanaa. Maadam watu wanashawishika, nani anajali kinachosemwa kama kina ukweli au mantiki?

Wapo wengine wanaosema ili tu nao waendelee kusemwa na kubaki kwenye vyombo vya habari na masikioni mwa watu.
 
Mambo ya saisa sio ya muhimu sana Bali uchumi ndio maana hakuna Mtanzania anahangaika sana na mambo ya saisa za Wapinzani nimiwemo Mimi.

Kwangu Cha muhimu ni uchumi uwe unafanya vizuri tuu
Lissu kwa sasa kaigia cha kike, ni bora aachane na siasa arudi kufanya kazi yake ya uwakili full time.

Lissu hakuwahi kumfagilia Raisi Magufuli akiwa Mtawala.
Lissu alidhani ana majibu ya kuingoza nchi kupitia Chadema baada ya kifo cha Mjomba Magu.

Alidhani Raisi Samia ni Raisi na mwanasiasa wa msimu tu,kumbe wa msimu ni yeye tu.
Sasa Lissu anaparulana na Mwenyekiti wake,amesahau corrective leadership ndio msingi wa utawala bora.
Kama hakubaliani na Mh.Mbowe asepe kuliko kutoa vijembe nje ya vikao rasmi.

Pammoja na Magu kuwa mtawala wa mkono wa chuma unadhani alimkaribia japo hata robo ya kura kihalali?

Magufuli na msaidizi wake Mama Samia walikuwa wana uza mafanikio kiuchumi hasa kwa miradi mkubwa iliyotapakaa nchi nzima.
 
Nipeni hii nchi niinyooshe la sivyo mtalalamika mpaka Isa bin Mariam atakaporejea.
 
Wakati Jiwe ndio muasisi wa huu wizi wa kura sema tu hakuua kwenye uchaguzi.
Hahaha wizi wa kura haukuanzishwa na Magufuli, yeye aliukuta na akauendeleza. CCM miaka yote wanaiba kura, kwa hili msimsingizie Magufuli.
 
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .

Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.


Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa 2024 kakiri Magufuli hakuua mtu 2019

Katika kuazimisha miezi 6 ya Makonda alitwambia JPM he was a good man kuna Tundu lissu atakuliana na Mh Makonda

Tuendelee kusubiri .
Hahaha! Unajitekenya na kucheka mwenyewe, siyo?
 
Kitu nikichogundua humu jukwaani wote wanaotumia majina yao halisi ni wapuuzi karibu na upumbavu. Ni wachumia tumbo wanaotaka teuzi na hawawezi kusema kweli, nitajieni mmoja mwenye akili
Fake ID yako ndiyo inayokupa nguvu ya kuandika unachoandika , Jifunze kuheshimu watu mjinga wewe
 
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .

Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.


Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa 2024 kakiri Magufuli hakuua mtu 2019

Katika kuazimisha miezi 6 ya Makonda alitwambia JPM he was a good man kuna Tundu lissu atakuliana na Mh Makonda

Tuendelee kusubiri .
Crap!
 
Kwanza Lisu hajaeleza huo u hovyo wa Mkataba wa DP World vs Tanzania.

Pili sitarajii maoni tofauti kutoka Kwa Lisu kama Mpinzani lakini kama mtu mwenye mlengo wa ujamaa au msimamo mkali wa Utaifa yaani Nationalist sawa tuu na Magufuli kama alivyomuekeza.

Ni vyema ikaeleweka vizuri kwamba Samia sio muumini wa ujamaa Baki upebari na Biashara huria so anapenda kushirikiana na watu kutoka pande zozote za Dunia au ndani ya Nchi Ili kuleta Tija lakini hakuna Mwekezaji ambae atakuja kutoa Msaada lazima apate faida.

So long as huo uwekezaji unaleta Tija dhidi ya tulikotoka naunga mkono hoja.

Mara nyingi wajamaa Huwa hawafanyi uchambuzi wa jambo Kwa mapana yake ila Huwa wanaona wengine ni maadui,watu wa hivyo ndio hao wako tayari kuona maelfu Wanateseka huko Vijijini Kwa kukosa miundombinu ila wanatumia pesa zao kujenga miradi ya mapambo eg Sgr.

Ni matumizi mabaya ya akili, Rasilimali Fedha na kutokujali Kwa kujenga Sgr za mapambo Ili uonekane wa kwanza kufanya.

Akili ipi inakuongiza kutumia Trilioni 13 kujenga Sgr ya Dom-Dar badala ya km 8,000 za lami Nchi nzima? Kipi kina Tija Kwa watu?
Elimu, Elimu, Elimu.
 
Acha ujinga nyuma ya fake id
Mjinga na mamaako, yupi anayetumia jina lake ana akili? Wewe unatumia jina halisi au hii akaunti yako nyingine? Nasema kweli unakasirika unataka kuniteka mbwa wewe
 
Kusema ukweli huyu mama ni mbaya kuliko Magufuli, maana huyu mama ni mnafiki ila moyoni muuaji. Eti kifo ni kifo.
 
Back
Top Bottom