Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Arusha to simiyu ambayo pia inafika musoma ni lami tuuu boss ilianza kujengwa siku nyingi na inapitika
 
Kuna haja ya kuifanya Central Corridor kuwa Dual carriage way.
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Hapo juu umeonyesha Chuki na Gubu na Visirani binafsi Dhidi ya Hayat J.P M
Utajijiju.

====================
Sikiliza Viongozi wa Nchi yako na sio Huyu ChoisiVariabo, Viongozi hawa ndio wanaojua nini kinafanyika nchi hii kuliko huyu Shetani na wakala wa Wazungu na Mabeberu.
Hebu wasikilize viongozi wetu na kwa Umoja mumtumie maua yake Raisi Ali Hassan Mwinyi👇

View: https://m.youtube.com/watch?v=a_hFBtGem2s&pp=ygUjTXN0YWFmdSBNd2lueWkgTXNpYmFuaSBrd2EgbWFndWZ1bGk%3D
====================Na Mheshimiwa Marehemu Membe akizungumzia Barabara Tanzania

View: https://m.youtube.com/watch?v=IuR9dUnyg7c&pp=ygU2bWVtYmUgYW1rdWJhbGkgRGt0IE1hZ3VmdWxpLCB1amVuemkgd2EgQmFyYWJhcmEgTmNoaW5p Msimamizi wa Karibu Barabara zote Tanzania! (Haijawahi kutokea na Tawkimu hazidanganyi)
 
Kulingana na Taarifa za TANROADS,Utawala wa Magufuli ulijenga Kilomita zaidi ya 3500 elfu tatu na Miatano za Lami kwa kipindi cha miaka mitano!
Hakuna , Waziri au Raisi baye atakaekuja kumshinda Hayati Rais Magufuli kwa Ujenzi wa Barabara Nchini!

Nadiriki Kusema, hakuna barbaraba yeyote ile ambayo inajengwa, ilishajengwa na zingine zinazokuja kujengwa ambazo hazina signature ya Magufuli kutoka miaka 20 iliyopita na angalau mitano inayokuja.

Kama unabisha, katambike.
 

Soma....​

Mtandao wa barabara za lami alizojenga Mstaafu Kikwete katika kipindi chake cha uongozi

≠===================

Kikwete: Hayati Dkt. Magufuli alikuwa adui mkubwa wa wanafiki na wababaishaji​


 
ChoiceVariable ni mzushi, mpotoshaji wa hali ya juu kuwahi kutokea JamiiForums. Mfano mwingine ni haya maneno aliyo yasema katika Uzi huu, akitaka kuaminisha Umma kuwa maneno aliyoyasema yeye Choice ya kigaidi, yamesemwa na Naibu Waziri.

Nilishasema huko nyuma, TCRA wamshugulikie huyu bwana kwa upotoshaji, na Uwasilishaji wa Takwimu za Nchi, kwani huwa ya anatumia Fedheha na mbwembwe zingine za kupata wasomaji ambao kiuhalisia ni zile za genge lake au grupu alilolitengeneza katika Jamvi lingine Nje ya Nchi! Mbali yote Huwa anakiuka sheria za Nchi na kanuni za Usambazaji habari.
 
Inaonekana jinsigani ilikua na matarajio Makubwa toka kwa JPM. Umeropoka mpaka uongo. Mpanda to Sumbawanga ni Lami isipokua kipande Cha hifadhi ya Taifa.
Sasa Umesahau moja la JPM kuwatia mimba wewe na Mamayako hilo nalo ulisemee.
 
Kigoma ni mkoa uliokuwa unatia aibu kubwa
 
Toa ujinga wako hapa,weka hiyo taarifa.Km 3500 unazijua au unazisikia? Alizijenga wapi ikiwa Barabara kubwa aliyojenga ni Moja tuu ya Mpanda-Tabora?
 
Wivu 😂😂 stuka tuko na Samia kuanzia 2021 ....

View: https://twitter.com/TaruraTz/status/1705138486133588268?t=6ZPCvK0myft2QwgKiwsSmA&s=19
 
Huwa nasikiliza vitu vya msingi na sio propaganda za kusifia Jiwe.

Over 2,000km at par,kazi ya Samia hii


View: https://youtu.be/zQGotpiYVGc?si=d_l8ZR3eA_Y5NtNR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…