Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Afadhali aisee sisi wadau wa usafirishaji ndio tunajua adha za mabarabara ya vumbi na mbavu dume
 
Rubbish gani Sasa,huu ndio ukweli hakuna kitu Cha maana alifanya Mwendazake kwenye Barabara Nchi hii badla yake Samia ndio ataweka historia.
Hahahaha Magamba mnararuana! Unajua pesa inayojengea inatoka wapi? Unajua kiwango (standard) ya hio lami? Usiropoke tu ndugu
 


Namba ya simu umesahau
 
Kwa hiyo wewe unashindana na mwendazake maana alikuwa chadema na huyo umsifiaye alikuwa ni makamo wa raisi wa mrema TLP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…