Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Leta za kwenu mlizodanganyia wakubwa
Magufuli enzi zake umeme haukatiki , mtua akimlilia kitu kinatatulika , ujenzi wa shule, hospitali na makazi ya mapolisi wamejengewa kabla hajafa kajenga nyumba za makazi ya watu serikali zaidi ya nyumba elfu 5 nchi nzima , ongezeko la mishahara , mikopo kwa wafanyakazi na vijana , wazee kupewa posho kila mwaka na kupimwa afya zao, hata chakula , ndege za nchi , hospitali kubwa kuwekwa vifaa na vitanda vya wagonjwa , kuongezwa kwa manesi na madaktari , umeme hakukatiki sasa kwa samia nilichoona ni kimoja tu utalii baso nakuweka diamond darajani ., na kupewa dp world kila kitu basi
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.

Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.

Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.

==============

BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI

IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.

“Kwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99”, amesema Eng. Kasekenya.

Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.

Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.

“Tunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali “, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.

Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.
Hivi hukujua kuwa hiyo barabara aliyeianzisha na kuijenga kwa kiasi kikubwa ni JPM au unajitia ujinga?

BTW, Watz inabidi tuache uchawa, kuwasifia viongozi wanapotimiza majukumu yao unawatia ujinga.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Aiseee sijawahi kufikiri kuwa mpaka Sasa kuna barabara ya mkoa wowote Tanzania haina lami.
CCM ilaaniwe kwa uovu na wizi
Kigoma imetengwa sana.
Kuelekea Mwanza bado haijaungwa na Lami, kuelekea Tabora/Dar vile vile.
Mbaya zaidi magari ya kwenda Kigoma ni mabaya sana na hakuna ustaarabu watu wanajazwa kama mkaa.
 
Hivi hukujua kuwa hiyo barabara aliyeianzisha na kuijenga kwa kiasi kikubwa ni JPM au unajitia ujinga?

BTW, Watz inabidi tuache uchawa, kuwasifia viongozi wanapotimiza majukumu yao unawatia ujinga.

Vv

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Kwanza wewe ni mpumbavu, mtoto wako alifanya vyema Huwa unamsifia au unamtukana?

Mwisho anaemalizia ndio hupewa sifa,huyo tunahesabu alishindwa
 
Kigoma imetengwa sana.
Kuelekea Mwanza bado haijaungwa na Lami, kuelekea Tabora/Dar vile vile.
Mbaya zaidi magari ya kwenda Kigoma ni mabaya sana na hakuna ustaarabu watu wanajazwa kama mkaa.
Harafu wanataka asifiwe yule Mzee wao wa Sgr , stupid zao
 
Magufuli enzi zake umeme haukatiki , mtua akimlilia kitu kinatatulika , ujenzi wa shule, hospitali na makazi ya mapolisi wamejengewa kabla hajafa kajenga nyumba za makazi ya watu serikali zaidi ya nyumba elfu 5 nchi nzima , ongezeko la mishahara , mikopo kwa wafanyakazi na vijana , wazee kupewa posho kila mwaka na kupimwa afya zao, hata chakula , ndege za nchi , hospitali kubwa kuwekwa vifaa na vitanda vya wagonjwa , kuongezwa kwa manesi na madaktari , umeme hakukatiki sasa kwa samia nilichoona ni kimoja tu utalii baso nakuweka diamond darajani ., na kupewa dp world kila kitu basi
Hakuna kitu amefanya Mwendazake kumzidi Samia hakipo ,kama unakijua nitajie tulinganishe.

Yaani sio Barabara tuu kila.kiti inachokijua wewe kafunikwa na Samia.Propaganda ndio mlifaulu.

Toka umezaliwa umewahi sikia Magufuli kajenga Skimu za umwagiliaji?

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1706656275117883739?t=Vb0cXkPnLchHpmaAssB0lg&s=19
 
Harafu wanataka asifiwe yule Mzee wao wa Sgr , stupid zao
Hata wewe huna hoja.
Mimi sio mtoto wala mjinga kama unavyofikiri.

Miradi ya barabara ya Kigoma njia ya Tabora na Mwanza yote alianzisha Magufuli.
Nilikuwepo Kigoma 2021 mapema hata Samia hajui hata harufu ya urais.

Pili, mtekelezaji wa miradi ni serikali na sio utashi wa rais kama unavyofikiri.

Barabara zote nchini ziko kwenye mpango hata kabla JPM wala Samia kuwa marais.
 
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.

Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.

Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.

==============

BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI

IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.

Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.

“Kwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99”, amesema Eng. Kasekenya.

Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.

Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.

Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.

“Tunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali “, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.

Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.
Umeandika matope tu.hao wengine wasingefanya chochote zingebaki hizo kilomita unazozungumzia?au unataka uteuzi?
 
Hata wewe huna hoja.
Mimi sio mtoto wala mjinga kama unavyofikiri.

Miradi ya barabara ya Kigoma njia ya Tabora na Mwanza yote alianzisha Magufuli.
Nilikuwepo Kigoma 2021 mapema hata Samia hajui hata harufu ya urais.

Pili, mtekelezaji wa miradi ni serikali na sio utashi wa rais kama unavyofikiri.

Barabara zote nchini ziko kwenye mpango hata kabla JPM wala Samia kuwa marais.
Alivyoipokea kwa JK aliyeanzisha ndivyo aliiacha na Sasa Samia anafuta Kila vumbi huko.
 
Toa utaahira wako hapa,alivyoipokea Kwa JK aliyeanzisha ndivyo aliiacha na Sasa Samia anafuta Kila vumbi huko.
Siku zote chawa hutanguliza MATUSI huwezi kutetea hoja bila tusi?
Acha uchawa fanya kazi halali.
 
Back
Top Bottom