Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
 
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Sumu ya panya ni bei rahisi sana. Hao wazee wenye fukuto wakiinywa itasaidia kumaliza hilo fukuto. Azimio la mkutano mkuu haliwezi hojiwa likishapitishwa.
 
Mtasubiri sana hadi kizazi cha saba kuanzia sasa
Usidharau movement za Upinzani. The mighty fall kwa kuchukulia mambo poa. Soma kitabu cha Collins Why the Mighty fall , in his book ame demonstrate 5 stages of decline , focus na stage namba 3. Denial of Risk and Peril, then soma stage number 1 Hubris born of success
 
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
Fukuto la huko ni kubwa mno ni kwa vile tu mambo yako ndani kwa ndani watu wanaogopa kutekwa na kuuwawa maana Mafwele na mbwa mwitu wake wako standby kusubiri amri ya kufanya shambulizi.
 
Back
Top Bottom