Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Mtu wowote kama hataki ugali alete fyoko na vijimananeno mbele ya JK. Atarudishwa Kyela akashike jembe
 
upotoshaji kama huu ni muhimu kupuuzwa,

ndrugu zango,
my friends, ladies and gentlemen,

hakuna haja wala sababu hata moja kwa ndugu zangu wapinzani kuweweseka, kufadhaika na kukata tamaa ya kufanya siasa Tanzania ,

kwasabb tu mgombea uraisi wa CCM na mgombea mwenza wake wanakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi na waTanzania wote.

Ushindi wa kishindo kwa CCM ni jambo la kawaida sana mbona 🐒
Imani yako itakuponya. Upo kwenye stage namba 3 of 5 stages of decline. By Jim Collins
 
Ndiyo nakwambia wanaofanya hivyo vikao vya siri wajue CCM hakuna siri, so wakae mkao wa kula.

Yaani vikao vya siri kumsema mwenyekiti wa CCM - hiiiiiiiiii
Imani yako itakuponya
 
Sishiriki tena thread za sijui ccm nini, mnatengeneza sana mambo mtandaoni. Tukutane 2025.
Uraisi ccm
Ubunge 100% ccm
Udiwani 100% ccm
 
Mtu wowote kama hataki ugali alete fyoko na vijimananeno mbele ya JK. Atarudishwa Kyela akashike jembe
Sidhan kama kila mtu anashida na ugal kama wewe. Wengine walishavuka hizo level
 
Walipingie wapi?
Wakati wa kuwekeana mapingamizi kule tume ya uchaguzi. Pingamizi lenyewe ni rahisi, kwamba ccm haina mgombea Kwa maana wamevunja kanuni na taratibu za katiba yao iliyopo Kwa msajili wa vyama. Na pingamizi hili, litaibua uhalali wa mgombea huyo na kutupwa nje. Hapo ndipo kwenye issue maana nchi haijaruhusu mgombea binafsi au kujichagulia bila kufuata utaratibu. Hilo jambo pia halikuwemo kwenye ratiba ya kikao na mwenyekiti alikuwa na conflict of interest kukataa kutoka nje ya kikao na hoja toka Kwa kibajaji.
Mchakato huu wa mgombea wao Una kina kirefu maana umevunja fundamental right- ya kuchagua na kuchaguliwa humo vyamani. Mahakama / Quasi judicial body ( tume huru) haiwezi kukubali uvunjifu huu wa uchaguzi Kwa proclamation maana sio njia zilizomo kwenye katiba ya ccm ya Kuteua mtu. Wakitaka kuitumia proclamation, inabidi kwanza waifanyie mabadiriko katiba Yao ( mchakato mrefu huo) na baada ya wajumbe kukubali hiyo njia, kopi ya katiba ipelekwe Kwa msajili- baada ya hapo ndio utaratibu mpya utumike.
Ccm msipo kuwa makini, mtatolewa KO ktk uchaguzi Kwa kutokufuata kanuni na taratibu zenu mlizojiwekea wenyewe.
Jisafisheni kabla hamjalipeleka jina la mgombea wenu huko tume huru…
 
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
Lazima kieleweke. WanaCCM hatuwezi kukubali kurudi kwenye mambo ya kihuni kwenye chama chetu. Jpm alikirejesha chama kwa wanachama. Mama anakirudisha chama mikononi kwa wahuni. Mulimsikia yule bush lawyer mzee Makamba akisema chama ni chao kwa hiyo wanaweza kufanya wanavyotaka. Lazima katiba na utaratibu ufuatwe. Hatuwezi kua na mgombea ambaye anaweza kua rais mihula miwili huku hakuwawi kugombea kuteuliwa kua mgombea urais kufuatana na katiba na taratibu za chama.
 
Ccm Wana wakati mgumu Sana, katiba imevunjwa, mihemko ya wajumbe imefanya wavunje katiba Yao, mbaya zaidi kikwete hajakisaidia chama kwa Hali hii kama mstaafu
 
Sa

Samahani ninaomba kuelimishwa kifungu cha katiba au kanuni za uchaguzi za CCM zilizokiukwa.
 
Samia kakaripia watu kuanza kamoeni kabla ya wakati, halafu yeye kaenda kuanza kamoeni bila wakati.

Kikao kimevunja katiba ya CCM ya 1977, tileo la Disemba 2022, 8bara ya 100, kifungu cha 5 c.

Kama kuna watu wanataka kupinga jambo hili, wanaweza.
Haahaa aiseh, ndimi mbili😂
 
Rizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.

Mzee wa Msoga anaandaa future ya kijana wake.
Hawezi kupewa uwaziri mkuu kwa sababu akishika nafasi hiyo ni ngumu kuja kushika muhimili uliojichimbia zaidi
 
Kuamini kuwa CCM ina mpasuko ni kete muhimu sana kwa upinzani kutoka CCM. Imefanya kazi tangu enzi za Mrema na itafanya kazi hata leo sababu wafuasi wa upinzani na viongozi wa upinzani wakati wote wana malengo, mategemeo, matendo tofauti na maneno yanayofanana ili kuwafikirisha wao ni kitu kimoja.
 
Lazima kieleweke. WanaCCM hatuwezi kukubali kurudi kwenye mambo ya kihuni kwenye chama chetu. Jpm alikirejesha chama kwa wanachama. Mama anakirudisha chama mikononi kwa wahuni. Mulimsikia yule bush lawyer mzee Makamba akisema chama ni chao kwa hiyo wanaweza kufanya wanavyotaka. Lazima katiba na utaratibu ufuatwe. Hatuwezi kua na mgombea ambaye anaweza kua rais mihula miwili huku hakuwawi kugombea kuteuliwa kua mgombea urais kufuatana na katiba na taratibu za chama.
Kuna mambo hapa yapo tata sana

samia anauwezo wa kwenda hadi 2035.

So kama akifanikiwa kwenda hivyo hivyo kwa Azimio la mkakati, na akatamani tena kugombea 2030 kwenda 2035….. hii ya 2035 si ndio mwenyekiti anakuwa hapingwi ? That means tutakuwa na Rais ambae hajawahi kushindanishwa hâta Siku moja wala hajawahi kunadi sera Zake against others., je hicho ni chama gani. ?

Na kama Samia akishindanishwq kwa sasa na akatoboa…… ifahamike kwamba 2030 atagombea tena….. hii sasa ndio itafaa apite kwa fomu moja.

Concept nyingine ni : Inalazimishwq apite kwa Azimio Ili apandishe nyota ya dogo in 2030 achukuee kiti, by 2030 Samia atakuwa too old woman in her 70s ….. sidhan kama atakuwa na nguvu tena hivyo Kidoti lazima awe ready kwa kiti

Tunageuka kuwa ZNZ kama hili likiachwa

Ni wakati wa CHADEMA sasa, i think ni best time ya upinzani kushika dola. Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitende haki…… visifanye kazi kwa niaba ya CCM bali kwa maslahi ya nchi
 
Attachments

  • v09044g40000cu8cf9fog65g717gh240.mp4
    8.8 MB
Back
Top Bottom