Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Kwa sasa taifa halina vijana makini. Vijana tuliokuwa nao ni aina ya Lucas Mitishamba…chochote atakachofanya kiongozi kwao ni sawa . They say give them sweets, take them gold
Nadhani hapa unakosea. CCM hakuna Vijana kuna Wajukuu. Kwani humuoni Babu yao wa miaka 80
Kuna Kijana angekubali kuambiwa akajiajiri halafu wazee wanaajiriwa!
 
Asante sana Joka kuu kwa Upembuzi yakinifu. Mambo kama haya unajiuliza yale makofi pale dodoma yalikuwq yanatoka wapi.
Ni kweli tuna watu wajinga kiasi hiki ?

Nashauri vijana wa CCM wapunguze Uchawq
It is not worth it ……madhqra yake ni makubwa.
Wajifunze kuhoji vinginevyo taifa lipo kwenye Hatar

Ile kauli ya JK ya kuvunja katiba kisha kushauri watu watafute uhalali na namna ya kuweka sawa uvunjifu huo was absurd…….weng wanadhan jamaa ni smart na ameweza….. honestly hajaweza….. amepandikiza mbegu mbaya…..ambayo it will come back kwa njia mbaya

Samia na timu yake waache ujanja, Kama sio watu makini kukataa ujanja ujanja, yeye leo asingekuwq rais…..

Aheshimu katiba na aingie kwenye Chujio

Kama yeye ni bora na anajiamini na kazi yake …pamoja na mabango mengi mtaani… shida ipo wapi ? … chujio litamtoa yeye tu …… otherwise kila kitu kina gharama yake na consenquences
 
That is true , the Guy is psychological challenged kwenye Power, shida ni hajapata Training na therapy ya withdraw.

Enzi ya Ngosha alikuwa pia anatabia hizo…….. Ngosha akam screw kidogo na kumtolea macho…….. mzee akatulia kabisa na akaamua kwenda kulima mananasi. Alipoingia Mama tabia imerudi and now he is a remote behind all odds. Yeye anaamini he can run things as Nyerere…..

Tatizo lingine ni mzee anatamani one day kidoti awe pale juu na anaamini inawezekana…… the Guy needs therapy
 
Vijana hao wameridhika na ile kazi ya kutumwa kwenda kuwadhalilisha na hata kuwadhuru wale wanaohoji na kukosoa masuala mbali mbali yanayohusu Taifa na Rasilmali zake !
Wengine walionekana mpaka wakijisifu mbele ya kamera 🙄 !
Rejea yule Mwenyekiti wa Kagera 😳 !
 
Why should he needs therapy ilihali mambo yake na ushauri wake unatekelezwa kama atakavyo ??!

Those who needs therapy ni wale wanaolalamika pembeni pembeni lakini infront of him wananywea kumwambia hapo umefanya sio sawa Mzee !!
 
Ukifinywaaa utalia??? The guy ndo anaongoza nchi.
 
Mpina alibakii anashangaa kama kapigwaa na Shot ya umeme.
Tatizo kubwa ndani ya CCM ni moja tena wanalijua vizuri sana !
Ni waoga wa mabadiliko 😳 !

Kama bado wataendelea kuogopa kuzitenganisha kofia mbili basi wataendelea kuumia mioyoni mwao daima dumu 🙄!

Au nasema uongo ndugu zanguni ???!

Ndio maana huwa walatini Wanasemaga “ Locuta causa finita “
😄😅😂 !
Watabaki wanalalamikia pembeni tu !
 

Mzee bado anaonya dah
 
Anacho fanya mkwere ndicho alichokuwa anafanya Mchonga,ni mwendo wa kutamani kufanya mambo wakati tayali muda haupo upande wake tena.

Hii tabia ya kingmaker imeharibu mataifa mengi ya Afrika.
 
ILE ILIKUWA PINDUA MEZA.WENGINE TUJIPANGE 2030.MBONA KESHO KUTWA TUU?

ILA ZAMU YA MWISALM HAPO 2030 HAPO HAMNA.LAZIMA AJE MKRISTO.
 
ILE ILIKUWA PINDUA MEZA.WENGINE TUJIPANGE 2030.MBONA KESHO KUTWA TUU?

ILA ZAMU YA MWISALM HAPO 2030 HAPO HAMNA.LAZIMA AJE MKRISTO.
Hiiii wale wenye kujiona wao ndio wenye uwezo wa kutoboa 2030 wataanza kuwalia taimingi wanaowahofia ili wasiwaovateki 😳😂😄🤣 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…