Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Mliletewa akina Doto Magari, Zuchu, Irene Uwoya, Diamond, Baba Revo, Konde boy na wasanii wote mpaka wale mama ntilie maarufu ili mrubuniwe msahau mambo ya msingi.

Kilichotokea Dodoma kimedhihirisha namna gani akili za wanachama wengi wa CCM zilivyo, wahusika walijua akina Zuchu ndio muhimu kwenu.
 
Rizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.

Mzee wa Msoga anaandaa future ya kijana wake.
HIi nimeiskia sehemu aisee tena kwa mzee mmoja hivi niko na brash viatu japokua mwishoni akasema kanda ya ziwa pia ina nafasi kubwa kutoa waziri mkuu
 
Lazima kieleweke. WanaCCM hatuwezi kukubali kurudi kwenye mambo ya kihuni kwenye chama chetu. Jpm alikirejesha chama kwa wanachama. Mama anakirudisha chama mikononi kwa wahuni. Mulimsikia yule bush lawyer mzee Makamba akisema chama ni chao kwa hiyo wanaweza kufanya wanavyotaka. Lazima katiba na utaratibu ufuatwe. Hatuwezi kua na mgombea ambaye anaweza kua rais mihula miwili huku hakuwawi kugombea kuteuliwa kua mgombea urais kufuatana na katiba na taratibu za chama.
Magufuri alikua amenyanganya wahuni chama
 
Usidharau movement za Upinzani. The mighty fall kwa kuchukulia mambo poa. Soma kitabu cha Collins Why the Mighty fall , in his book ame demonstrate 5 stages of decline , focus na stage namba 3. Denial of Risk and Peril, then soma stage number 1 Hubris born of success
Huwa wanasomaga Hawa watu? Elimu Huwa wanaiacha wanashikiliwa na mtu akili! Waliitazama CHADEMA kama chama kisichokua na demokrasia. Things changed na wakaona how the party make decisions Kwa kutumia consensus and compromise! Kwao demokrasia ni kukunaliana na mawazo ya Mwenyekiti even by surprise! Tabia hii ilianza na Magufuli sasa Samia ameenda extra miles! What will come next? Who knows! Mifumo mingi ilijenga misingi ya kujiondoa nyenyewe duniani!
 
Uliposema hii tabia ilianza na Magufuli hapo ndipo ulipouharibu huu uzi 😳 !
 
Lakini Katiba haijawakataza kufanya yale wayafanyayo ! Right ?
Je tatizo lipo kwa hao wakubwa au lipo kwa sababu Katiba haijazuwia watu kujifanya ma-King makers ??!
Mkuu,

Katiba, kuanzia ya CCM, imewakataza kufanya hivyo.
 
Eti nasikia Mwenyekiti alichomoa kwenye ziwa jina la mgombea Makamu Mwenyekiti. Kuna mtu ana clip au hizi habari ni za uzushi?
 
Mkuu,

Katiba, kuanzia ya CCM, imewakataza kufanya hivyo.
Mkuu , hizo Katiba zitakuwa zimewakataza wale wengine wadogo wadogo lakini kwa wale wakubwa haijazungumzia chochote cha kuwafanya kama wakienda tofauti na matakwa ya hizo Katiba !

Sheria yeyote isipokuwa na maelezo ya adhabu zake ikivunjwa hiyo sio sheria bali ni kiini macho tu !!
 
IMG_2618.png
 
Samia 5 tena.
Kwa kazi kubwa anayo ifanya hakuna haja ya kichujio. kwa sasa hakuna wa kumzidi, ndio maana tunampa 5 tena.
 
Mkuu , hizo Katiba zitakuwa zimewakataza wale wengine wadogo wadogo lakini kwa wale wakubwa haijazungumzia chochote cha kuwafanya kama wakienda tofauti na matakwa ya hizo Katiba !

Sheria yeyote isipokuwa na maelezo ya adhabu zake ikivunjwa hiyo sio sheria bali ni kiini macho tu !!
Ulipoandika "zitakuwa" tu umeonesha umeandika kitu usichokijua.

Umesoma hizo katiba?
 
Back
Top Bottom