Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
Jambo zito ahead.
 
Wazee ?????!!!
Locuta causa finita !
Kazi kweli kweli 😳!
 
Siasa Ina ritual zake, amongst them surprise attack ni ‘no, no, no’.

Samia ni raisi mbovu; ukitoa Mpina ambae kama yupo peke yake hakuna watu wengine wanaonyeshwa kukera na nchi inavyoenda.

Kama uwezi kuja front kipindi hiki bora ukae kimya.

Tujifunze kwa democrats US ambao waliamua kuchukua na risk na Biden; au Conservatives wa UK na Sunak (he wasn’t gonna win) same as Badenock ashindi uchaguzi ujao (not sure huyu kama atadumu kwa miaka minne).

Hizo ni siasa zenye tamaduni zingine (very democratic) hasa U.K. not so much in US.

Mpaka sasa Samia ni bora apite tu; kama mpaka sasa watu wanaona bora wakae kimya tu, ukitoa Mpina na Ndugai.

Siasa sio mchezo wa cowards kwa watu wenye ambitions za uraisi.

My god huyu mama hajui, hata yeye hana mamlaka ya kusamehe mtu kodi kisheria na anadiriki kusema akitaka kutoa msamaha wa kodi ataandika barua kwa mamlaka gani,

But then cowards hawana mamlaka ya kumvaa pia kuelekea uchaguzi ujao.

Shitty country
 
Ohooo !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie !
 
Ohooo !
Ngoja Tusubiri tuone hii movie !
Wanaishi kwenye dunia yao.

Washauri makini wa raisi kwenye maswala ya siasa.

Wangeenda NEC na kuomba matokeo ya uchaguzi 2020 na kuelewa watanzania wanataka nini, based on actual votes za uraisi (ambapo Magufuli hakuwa na mpinzani).

Sio scientific people, wanapeana nafasi na kujazana ujinga tu; hakuna qualified people kwenye nafasi za strategy ya chama wala serikalini,

Ujinga mtupu, you can tell kwa kuwasikiliza tu this person doesn’t know how things work.
 
Huu ni uongo mkubwa sana.
Mjumbe gani alizuia JPM kujiongezea muda?
Si haohao wajumbe ndio walikuwa wanaropoka huko mikoani anakopita JPM kuwa awe Rais mpaka kifo chake?
Hakuna mjumbe aliyechukia Samia kuwekwa kwenye nafasi ya kugombea peke yake na kwa haraka.
Naijua CCM na pia nawajua wana CCM vizuri acheni kukuza mambo
 
Magufuli 2020 hakuwa na mpinzani ilihali aliiba kura mchana kweupe kila mtu anaona
Wagombea wa upinzani waliteswa kosa ni kutimiza haki yao ya kikatiba refer ile kauli aliyotoa aliyekua mkuu wa wilaya ya longido aliyefukuzwa

Tatizo kubwa la mtu mweusi ni kutetea ujinga na uovu ndo maana miongoni mwetu hatuna moral authority ya kukemea uovu wowote unaofanya na viongozi wetu miongoni mwetu tukipewa nafasi tutafanya yale-yale waliokua wanafanya viongozi wetu
 
Wajumbe wa ccm wewe waandalie fungu zuri hawana shida
 
Hapa ndio CCM unapoona hawana uwezo.

NEC yao, washauri wa raisi kutaka kujua wananchi wanataka nini; wangeomba data halisi za uchaguzi mkuu na kumshauri mama hiki ndio wananchi wanachotarajia.

Shida ni kwamba wanaokoteza watu wasio na sifa sahihi na kuamini kweli JF kweli au posts za wanaharakati ndio msimamo wa watanzania.

Wakati wanaharakati wenyewe, kama utasoma comments zao hasa, kumponda Magufuli wanakula matusi humo balaa.
 
Wajumbe wa CCM ni watu waliokubali kuwa Rais (mwenyekiti wa CCM) ni mtu mwenye akili kuliko wote Tanzania na wako tayari kumuunga mkono kwa kila jambo.
Iwe mauaji ya wapinzani wa ndani au nje ya chama. Kutawala milele n.k
Hawana shida.
Mwandishi ni muongo
 
Hapa ndio CCM unapoona hawana uwezo.

NEC yao, washauri wa raisi kutaka kujua wananchi wanataka nini; wangeomba data halisi za uchaguzi mkuu na kumshauri mama hiki ndio wananchi wanachotarajia.

Shida ni kwamba wanaokoteza watu wasio na sifa sahihi na kuamini kweli JF kweli au posts za wanaharakati ndio msimamo wa watanzania.

Wakati wanaharakati wenyewe, kama utasoma comments zao hasa, kumponda Magufuli wanakula matusi humo balaa.
Alichofanya magufuli tumeona kwenye vituo vya kura kwa macho yetu bila hata kuhadithiwa

Mimi kituo nilichopiga kura mwaka 2020 hakukua na wakala yeyote wa upinzani sikuwah kuona katika chaguzi zote nilizoshiriki sasa huo ni uchaguzi au uhuni
Usitete ujinga
 
Jambo lishaisha. Mama 2025 is clear! Hai wahuni wangsema siku ya kikao maalum
 
Watu wamepiga hesabu za 2030. Wameona akitoka Samia zitakuja zama mpya so lazima wajiwekee tena mtu wao ambae atakuja kuwa mrithi baada ya mama, ili ulaji uendelee. JK anahofia sana kuja mtu tofauti nje ya kundi lake. Ndiyo maana EN kapewa uwenza ili aje kuchukua mikoba 2030, coz ni mkatoliki na ni wa kundi Lao. Kwa znz tayari wamepachika bin Kombo foreign kumuandaa. Patachimbika!!
Kumpamba mama kote kule lkn bado watu wanahofia mchujo, washasoma alama, namba hazitimii.
 
Alichofanya magufuli tumeona kwenye vituo vya kura kwa macho yetu bila hata kuhadithiwa

Mimi kituo nilichopiga kura 2020 hakukua na wakala yeyote wa upinzani sasa huo ni uchaguzi au uhuni
Usitete ujinga
It’s not about you; it’s about Samia.

Team makini ya ushauri wa raisi na chama Ingęomba data za NEC, na kumshauri yepi ya kuropoka na yepi ni upuuzi.

Otherwise ain’t no one cares what you think, especially kama huna data za NEC.

Don’t you know ata mahakamani personal testimony is least trusted evidence.
 
Back
Top Bottom