Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Mkurugenzi wa Tume anaweza kukata Jina la Dada Mkubwa?
Kukiwa na hoja nzito zisizokuwa na majibu. lazima afutwe tu, hata kama itakuwa ngumu kiasi gani. Huyo Jaji lazia aweke historia na kila mtu anataka kukumbukwa kwa histora, hivyo hakuna lisilo wezekana
 
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
kama tu haheshimu katiba ya nchi sasa ya chama c ni takataka tu kwake endeleeni kulalama
 
Acha uzushi na umbea, linafukuta chumbani kwenu?
 
Magufuli aliirudisha CCM kwa wanachama mkamuua sasa CCM iko mikononi mwa manyang'au wanafanya watakavyo.
 
Kazi kwa nani? Kwetu tushamaliza sisi. Mama ndiye mgombea wa CCM. Hayo mengine ni fitna, porojo na chuki, na hayo ni ya kawaida sana mkuu. Wala usijali, kila kitu kipo kwenye order!
 
Angekuwa bwana yule kipindi kile mapema hii na minong'ono ile ndio angekuwa affirmed ile statement famous ya dikteta na king'ang'anizi wa madaraka na presda unyefor lifetime. Asanteni
 
Kazi kwa nani? Kwetu tushamaliza sisi. Mama ndiye mgombea wa CCM. Hayo mengine ni fitna, porojo na chuki, na hayo ni ya kawaida sana mkuu. Wala usijali, kila kitu kipo kwenye order!
black skin tunashida kwenye utawala wa sheria
 
Inside information zinasema baadhi ya wazee wa CCM na wajumbe hawajaridhishwa na uamuzi wa kulazimisha AZIMIO nje ya Katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!

Wajumbe wanajadiliana kuwa tulizuia la JPM kutaka kuongeza muda wa Utawala, kwanini tunaruhusu la Samia kupita bila chujio? Tena kwa ajenda iliyopenyezwa nje ya utaratibu

Soma, Pia: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?

Kwamba , "kuruhusu jambo kama hilo ni kuruhusu mtu mwingine kuja kufanya lolote ndani ya chama baadae....ni aina nyingine ya Udikteta ndani ya chama"

Inside info zinasema , wajumbe wanahoji kuna ajenda gani kati ya Mama na JK, kwamba Mchakato mzima wa kulazimisha Azimio unaonekana umesimamiwa na JK na ilikuwa ni idea ya JK, kulikoni ya wawili hawa ?

Sakata la Mpango kukaa Kando, limeenda pia kuamsha mjadala mzito juu ya Samia na utendaji wa nchi kwa ujumla.

Wanasheria wa CCM wame affirm kwa wajumbe kuwa kilichofanyika dodoma sio sawa kwa mujibu wa KATIBA ya CCM, Katiba ya nchi na miongozo ( SoP& Guidelines) ya Uchaguzi mkuu hivyo hata Uandishi wa Azimio Utakuwa ni VOID na BATILI kwa sababu tayari umeshakinzana na Katiba,Kanuni na mionhozo na hakuna lawfull justification ya kufanya hivyo.

Vikao vya siri vya wajumbe ni kutokubali KATIBA YAO kupinduliwa kwa maslahi binafsi :Kwamba kama Samia anakubalika ndani ya miaka 3, ni ipi shida ya kuingia kwenye chujio?

Wajumbe bado wapo kwenye vikao vya siri wakijadili ni

"upi uhalali wa Mama kuvunja katiba ya CCM na Miongozo ya Uchaguzi!?huku mama kwa maksudi akijua anachokifanya sio Taratibu na mienendo ya chama chao.

Na je ni ipi agenda kati ya Mama na Mkwere? Insitincts za wajumbe ni kuwa mchakato wa uvunjifu wa Kanuni na taratibu umekusudia kusafisha njia kwa kijana wa Msoga 2030! ?

kuruhusu uharibifu wa katiba ni kukaribisha uharibifu? au ni Another JPM in the making.

Hizo ni hoja za wazee, wajumbe na vikao vya pembeni.

Kazi kwenu!
Ni hoja zenye mashiko safi, mungu ni Mkubwa kuliko yeyote yule
 
Back
Top Bottom