Bado kuna Fukuto la kwanini Samia hajapitishwa kwenye Chujio !!!

Sijazidharau ila pia siwezi kuidharau CCM ninayoijua na uwezo wake
 
Rizimoja ndie waziri mkuu ajae wa Mama iwapo Mama atafanikwa kurudi madarakani.

Mzee wa Msoga anaandaa future ya kijana wake.
It is too risky, ita confirm ile minong'ono na ku link direct to JK. Hiyo kazi labda iende kwa bashungwa au doto since wale ni watendaji in nature less politicians. Lakini pia support ya watu wa kanda ya ziwa
 
Msikilize Jk kwa makini
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Samia kakaripia watu kuanza kampeni kabla ya wakati, halafu yeye kaenda kuanza kampeni bila kufuata wakati.

Kikao kimevunja katiba ya CCM ya 1977, toleo la Disemba 2022, ibara ya 100, kifungu cha 5 c.

Kama kuna watu wanataka kupinga jambo hili, wanaweza.
 
Samia kakaripia watu kuanza kamoeni kabla ya wakati, halafu yeye kaenda kuanza kamoeni bila wakati.

Kikao kimevunja katiba ya CCM ya 1977, tileo la Disemba 2022, 8bara ya 100, kifungu cha 5 c.

Kama kuna watu wanataka kupinga jambo hili, wanaweza.
Walipingie wapi?
 
Watu wamejitoa akili wanapinga kila kitu kukidhi matakwa na matamanio yao.
 
Ccm hawajawahi kuwa na utaratibu wa kufuata katiba. Sio ya chama ama katiba ya nchi.

Alieshika rungu ndio mwenye maamuzi ya mwisho.

Na sasa hivi rungu lipo kwa mama kizimkazi na msoga gang.
Wanalamba asali
 
Samia kakaripia watu kuanza kamoeni kabla ya wakati, halafu yeye kaenda kuanza kamoeni bila wakati.

Kikao kimevunja katiba ya CCM ya 1977, tileo la Disemba 2022, 8bara ya 100, kifungu cha 5 c.

Kama kuna watu wanataka kupinga jambo hili, wanaweza.
Sahihi kabisa. Kuruhusu uvunjifu ni kukaribisha uvunjifu.
 
upotoshaji kama huu ni muhimu kupuuzwa,

ndrugu zango,
my friends, ladies and gentlemen,

hakuna haja wala sababu hata moja kwa ndugu zangu wapinzani kuweweseka, kufadhaika na kukata tamaa ya kufanya siasa Tanzania ,

kwasabb tu mgombea uraisi wa CCM na mgombea mwenza wake wanakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi na waTanzania wote.

Ushindi wa kishindo kwa CCM ni jambo la kawaida sana mbona 🐒
 
Hata JPM ndio alikuwa dola mwenyewe. Nyie bado ni wachanga wa kujifunza
Ndiyo nakwambia wanaofanya hivyo vikao vya siri wajue CCM hakuna siri, so wakae mkao wa kula.

Yaani vikao vya siri kumsema mwenyekiti wa CCM - hiiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…