Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Mungu mmoja? Hiyo ni imani yako na huwezi kumlazimisha kila mtu kuamini unachokiamini.
Yaani Mungu mmoja halafu huyo huyo awaambie wahindu wafanye hivi, halafu butha wafanye vile, wayaudi wafanye hivi, wakristo wafanye yao na waislamu vile vile!? Hapana.
Lakini wewe jamaa ukabila unakusumbua.

Mfalme Suleiman katika ufalme wake alipotakiwa na Mungu aombe jambo lolote naye atapewa, yeye aliomba hekima.
Huyo wakabila lako unaye m- promote anakosa kitu kimoja muhimu sana katika uongozi. HEKIMA.
 
Moja ya nyuzi za hovyo kutoka kwako Comrade kwa mwaka huu wa 2023, nadhani huu unashika namba 1! Sina mengi ya kueleza hapa. Hongera kwa kuutumia uhuru wako wa kutoa maoni humu jukwaani.

Ila kwa sasa nimeanza kuamini maana halisi ya hili neno mayalla!! Ukishikwa na mayalla, uwezo wa kufikiri nao unapungua, kama siyo kuisha kabisa.
 
CHUMA JPM!!
 
Akiiiiiii Kaka yangu Paschal huu ni uchochezi ila unaotumia intelijensia. Mnaoamini amemsifia Makonda someni between the lines.
 
mwandishi wa habari
 
Kondakta wa daladala aongoze akili kubwa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hii kijana ni aina mpya ya viongozi vijana wanaoibuka vizuri uongozini barani Africa, wengine ni kama vile akina Julius Malema SA, Robert Chagulanyi-Uganda, Nelson Chamisa huko Zimbabwe, Juneti Mohd, Johnson Sakaja, Simba arati, Kipchumba Murkomen huko kenya na wale wengine wa kimapunduzi huko west Africa..,

Naweza kukiri kwa kiasi kwa sasa hivi kwamba huyu kijana vitu anavyosema na kuvitenda vina hulka na vinashabihiana na mwenda zake kwa kiasi, labda kadiri muda unavyo enda tutabaini mengine zaidi....

Hata pomoja na hayo,
Upepo na joto la kuibuka powerful young individuals wenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali na kwenye vyama vya kisiasa barani Africa unachochewa zaidi na kwamba wakongwe waliopo tangu uhuru wameshindwa kukonga nyoyo za wananchi na wameshindwa kuwaletea nafuu ya maisha tangu uhuru imani ya wananchi inahamia kwa vijana wa kisasa...

Tuelekepo huko mbeleni bara la Africa linaweza kuwa na viongozi vijana zaidi tena wa aina zote viongozi wa kimapunduzi lakini pia viongozi wa kidemokrasia....

Huyo kijana, wakati akitekeleza majukumu yake, akiweka kaheshma kidogo kwa watendaji wenzake na halafu akaweka na kaspidi ka standard , akondoa majivuno kidogo., l can confirm to you without fear of contradictions anaweza kuwavutia makundi mengi zaidi wamuamini zaidi na wampende zaidi na hatimae akawa kiongozi mkubwa zaidi nchini...
 
Ukisoma kwa jicho la ndani kabisa, ukituliza kichwa kweli na kuacha akili ya kawaida ifanye kazi, utagundua kijana yule machachari anayo nguvu kubwa tusioijua.

Alisakamwa sana baada ya 'Godfather' wake kuondoka Duniani, kulikua na hila, chuki na shinikizo kubwa aonjeshwe joto la jiwe, lakini mfumo ulimkingia kifua na yeye alibaki mkimya sana kiasi cha watu wengine kumbeza sana.

Mimi naamini kabisa kijana akituliza kichwa kidogo, akakua kifikra zaidi, busara kdg ikaongezeka... no doubt atakua ni mtoto pekee mpakwa mafuta wa kuja kutuvusha kwenda kaanani.
 
Wakati wa Paul Makonda wajja time will tell huyu mwamba hana mbambaaaa
 
Subira huvuta heri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…