Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma kipya kingine ila ni kinafana tuu kama kile chuma au chuma hiki ni chuma kile kile kimerejea kivingine?!

Hili ni bandiko la dhana tuu ya kufikirika, yaani an hypothetical situation ya just thinking aloud by imaginations.

Naomba nianze na hadithi hii fupi.

Japo Mungu ni mmoja na ndie aliyeumba ulimwengu na kila kilichomo!,
Ila wakati anaamua kumuumba binadamu, kuna viumbe Mungu alisemezana navyo " Na tuumbe binadamu kwa mfano wetu" hii maana yake japo Muumba ni Mungu, lakini kuna viumbe alisemezana navyo viwe ni Mwana, yaani Neno, Roho Mtakatifu na malaika, hivyo God was not alone!.

Na baada ya binadamu kumuasi Mungu kwa kutenda ile dhambi ya kumega lile tunda la mti wa katikati, Mungu alikasirika akawafukuza Adam na Hawa kutoka bustanini, ila licha ya kuwatimua, aliwaaahidi hata waacha atawatumia Mkombozi.

Huko mbinguni, inasemekana Mungu aliwauliza hao aliokuwa nao, nimtume nani aende kuookoa ulimwengu?. Ndipo Neno akajibu, "unitumie mimi Bwana". Ndipo Mungu akamtoa mwanawe mpenzi na kumtuma duniani kuja kuukomboa ulimwengu, akazaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, kwake yeye Bikira Maria, akawa mwanadamu. Akasulubiwa na kuteswa kwa mamlaka ya Ponsio Pilato, akafa akazikwa, siku ya tatu, akafufuka, akapaa mbinguni, toka huko atakuja kuwahukumu wazima na wafu, na ufalme wake hautakuwa na mwisho!.

Nikumbukwe Masiha alikuja kwa ajili ya taifa la Mungu, ila alikataliwa na wakamsulubisha, ni kwa kuteswa kwake au kwa kupigwa kwake, sisi tumeponywa!.

Hivyo ndivyo Taifa letu la Tanzania, ni taifa la Mungu. Mungu akatuletea mkombozi Nyerere, akamtwaa!.

Taifa likayumba rumba, tukamlilia Mungu atuletee mkombozi mwingine, Baba Mungu akakisikia kilio chetu akatupatia Magufuli.

Akamtwaa na kumchukua kwake mbinguni, Mungu akatuletea Samia. Magufuli alikuwa chuma na alitawala taifa hili kwa mkono wa chuma, hivyo JPM alikuwa ni chuma!.

Tuambizaze ukweli, Rais Samia sio chuma, ila ana jicho hilo!, linaona kila mahali na kila pahali!. Sasa ili mambo yaende, hili taifa linahitaji chuma cha kulikimbiza mchaka mchaka!. Jicho la Mama Samia lika kispoti chuma fulani kikiwa kipo tuu!, Samia akakisajili na kukiita kumsaidia, na kusema ukweli kilikuja moto, kwa mwendo wa mchamchaka, alianza kuwakimbiza kwa kuanza na kinara wao kwa kupewa ultimatum!, kisha mawaziri na watendaji.
Mara yakaibuka mayowe kila kona!.

Ndani ya CCM pia kuna baadhi ya makapi yalikuwa yamedanda, na kujishikiza kwa kujibananisha kama kuna!, baada ya chuma kuingia baadhi ya makapi haya yakaanza kuishiwa nguvu, yakaanza kushindwa na kulegea!, baadhi yao wameanza kuachia ngazi mwenyewe kwa kutafuta visingizio!.

Ni baada ya makapi haya kuanza kuachia ngazi, ndio sasa macho yangu yameanza kufunuka na kuona kwa hakika hakuna ubishi kuwa hiki ni chuma!. Swali ni, je chuma hiki ni chuma kingine ila ni kinafanana kama kile chuma, au chuma hiki ni chuma kilekile kimerejea kivingine?, ili kuja kuikamilisha kazi ya ukombozi mpya wa taifa letu!.

Ili kujua kama hiki ni chuma kile kile au ni chuma kipya karibu mitaa hii Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Nawatakia Ijumaa Kareem

Paskali.
Mungu mmoja? Hiyo ni imani yako na huwezi kumlazimisha kila mtu kuamini unachokiamini.
Yaani Mungu mmoja halafu huyo huyo awaambie wahindu wafanye hivi, halafu butha wafanye vile, wayaudi wafanye hivi, wakristo wafanye yao na waislamu vile vile!? Hapana.
Lakini wewe jamaa ukabila unakusumbua.

Mfalme Suleiman katika ufalme wake alipotakiwa na Mungu aombe jambo lolote naye atapewa, yeye aliomba hekima.
Huyo wakabila lako unaye m- promote anakosa kitu kimoja muhimu sana katika uongozi. HEKIMA.
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma kipya kingine ila ni kinafana tuu kama kile chuma au chuma hiki ni chuma kile kile kimerejea kivingine?!

Hili ni bandiko la dhana tuu ya kufikirika, yaani an hypothetical situation ya just thinking aloud by imaginations.

Naomba nianze na hadithi hii fupi.
Ikumbukwe Masiha alikuja kwa ajili ya taifa la Mungu, ila alikataliwa na wale aliokuja kuwakomboa na wakamsulubisha!, ila ni kwa kuteswa kwake na kwa kupigwa kwake, sisi tumeponywa!.

Hivyo ndivyo Taifa letu la Tanzania lilivyo, ni taifa la Mungu. Mungu akatuletea mkombozi Nyerere, akamtwaa kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi.

Taifa likayumbayumba, hapa katikati kwa kufanywa kichwa cha Mwendawazimu huku kiuchumi tukifanywa ni shamba la bibi!, tukamlilia Mungu atuletee mkombozi mwingine, Baba Mungu akakisikia kilio chetu akatuletea Magufuli. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Chuma hiki kiliinyoisha nchi!, na nchi ikaanza kunyooka, vyuma vilikaza watu wakaanza kupiga mayowe, na kama ilivyo kwa manabii wengine Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika, kelele zilipozidi, mwishowe Mungu akamtwaa na kumchukua kwake mbinguni, kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani.

Baada ya kumtwaa Magufuli, Mungu akatuletea Samia. Magufuli alikuwa chuma na alitawala taifa hili kwa mkono wa chuma, hivyo JPM alikuwa ni chuma!, ila Samia...

Tuambizaze ukweli, Rais Samia sio chuma kivile kwa uchuma wa Magufuli type, ila yeye naye ana uchuma wake kupitia jicho!. Rais Samia ana jicho hilo!, linaona kila mahali na kila pahala!. Sasa ili mambo yaende, hili taifa linahitaji chuma cha kulikimbiza mchaka mchaka!. Jicho la Mama Samia lika kispoti chuma fulani kikiwa kipo tuu!, Samia akakisajili chuma hiki na kukiita kumsaidia kule kwenye chama!, na kusema ukweli kilikuja moto, kwa mwendo wa mchamchaka, alianza kuwakimbiza kwa kuanza na kinara wao kwa kupewa ultimatum!, kisha mawaziri na watendaji wakaanza kuperekeshwa!.
Mara yakaibuka mayowe kila kona!.

Ndani ya CCM pia kuna baadhi ya makapi yalikuwa yamedanda, na kujishikiza kwa kujibananisha kama luba!, baada ya chuma kuingia baadhi ya makapi haya, yakapelekewa moto!, yakaanza kuishiwa nguvu, yakaanza kushindwa na kulegea!, baadhi yao ndio hawa sasa wameanza kuachia ngazi mwenyewe kwa kutafuta visingizio!.

Ni baada ya makapi haya kuanza kuachia ngazi, ndio sasa macho yangu yameanza kufunuka na kuona kwa hakika hakuna ubishi kuwa hiki ni chuma!. Swali ni, je chuma hiki ni chuma kingine ila ni kinafanana kama kile chuma, au chuma hiki ni chuma kilekile kimerejea kivingine?, ili kuja kuikamilisha kazi ya ukombozi mpya wa taifa letu!.

Ili kujua kama hiki ni chuma kile kile au ni chuma kipya karibu mitaa hii Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Nawatakia Ijumaa Kareem

Paskali.
Moja ya nyuzi za hovyo kutoka kwako Comrade kwa mwaka huu wa 2023, nadhani huu unashika namba 1! Sina mengi ya kueleza hapa. Hongera kwa kuutumia uhuru wako wa kutoa maoni humu jukwaani.

Ila kwa sasa nimeanza kuamini maana halisi ya hili neno mayalla!! Ukishikwa na mayalla, uwezo wa kufikiri nao unapungua, kama siyo kuisha kabisa.
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma kipya kingine ila ni kinafana tuu kama kile chuma au chuma hiki ni chuma kile kile kimerejea kivingine?!

Hili ni bandiko la dhana tuu ya kufikirika, yaani an hypothetical situation ya just thinking aloud by imaginations.

Naomba nianze na hadithi hii fupi.
Ikumbukwe Masiha alikuja kwa ajili ya taifa la Mungu, ila alikataliwa na wale aliokuja kuwakomboa na wakamsulubisha!, ila ni kwa kuteswa kwake na kwa kupigwa kwake, sisi tumeponywa!.

Hivyo ndivyo Taifa letu la Tanzania lilivyo, ni taifa la Mungu. Mungu akatuletea mkombozi Nyerere, akamtwaa kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi.

Taifa likayumbayumba, hapa katikati kwa kufanywa kichwa cha Mwendawazimu huku kiuchumi tukifanywa ni shamba la bibi!, tukamlilia Mungu atuletee mkombozi mwingine, Baba Mungu akakisikia kilio chetu akatuletea Magufuli. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Chuma hiki kiliinyoisha nchi!, na nchi ikaanza kunyooka, vyuma vilikaza watu wakaanza kupiga mayowe, na kama ilivyo kwa manabii wengine Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika, kelele zilipozidi, mwishowe Mungu akamtwaa na kumchukua kwake mbinguni, kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani.

Baada ya kumtwaa Magufuli, Mungu akatuletea Samia. Magufuli alikuwa chuma na alitawala taifa hili kwa mkono wa chuma, hivyo JPM alikuwa ni chuma!, ila Samia...

Tuambizaze ukweli, Rais Samia sio chuma kivile kwa uchuma wa Magufuli type, ila yeye naye ana uchuma wake kupitia jicho!. Rais Samia ana jicho hilo!, linaona kila mahali na kila pahala!. Sasa ili mambo yaende, hili taifa linahitaji chuma cha kulikimbiza mchaka mchaka!. Jicho la Mama Samia lika kispoti chuma fulani kikiwa kipo tuu!, Samia akakisajili chuma hiki na kukiita kumsaidia kule kwenye chama!, na kusema ukweli kilikuja moto, kwa mwendo wa mchamchaka, alianza kuwakimbiza kwa kuanza na kinara wao kwa kupewa ultimatum!, kisha mawaziri na watendaji wakaanza kuperekeshwa!.
Mara yakaibuka mayowe kila kona!.

Ndani ya CCM pia kuna baadhi ya makapi yalikuwa yamedanda, na kujishikiza kwa kujibananisha kama luba!, baada ya chuma kuingia baadhi ya makapi haya, yakapelekewa moto!, yakaanza kuishiwa nguvu, yakaanza kushindwa na kulegea!, baadhi yao ndio hawa sasa wameanza kuachia ngazi mwenyewe kwa kutafuta visingizio!.

Ni baada ya makapi haya kuanza kuachia ngazi, ndio sasa macho yangu yameanza kufunuka na kuona kwa hakika hakuna ubishi kuwa hiki ni chuma!. Swali ni, je chuma hiki ni chuma kingine ila ni kinafanana kama kile chuma, au chuma hiki ni chuma kilekile kimerejea kivingine?, ili kuja kuikamilisha kazi ya ukombozi mpya wa taifa letu!.

Ili kujua kama hiki ni chuma kile kile au ni chuma kipya karibu mitaa hii Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

Nawatakia Ijumaa Kareem

Paskali.
CHUMA JPM!!
 
Akiiiiiii Kaka yangu Paschal huu ni uchochezi ila unaotumia intelijensia. Mnaoamini amemsifia Makonda someni between the lines.
 
mwandishi wa habari
 
CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!.

Na hapa ndio mwanzo tuu wa hizi amsha amsha!, kama ni mvua, hii ni rasha rasha tuu!, mvua halisi ni 2025!.

Ila pia kijana ni msikivu sana, alianza kwa moto sana, tukampooza Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! sasa anakwenda vizuri!.

Na kwa vile humu umezuka mtindo ukimkubali mtu ukamsifia na kumpongeza, huchelewi kuitwa chawa!,
angalia huyu dogo sisi kaka zake, tumeanza nae wapi.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo mheshimiwa sana Mwenezi Makonda, piga kazi, tuko nyuma yako!

Nawatakia Ijumaa Kareem

Paskali.
Kondakta wa daladala aongoze akili kubwa?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
hii kijana ni aina mpya ya viongozi vijana wanaoibuka vizuri uongozini barani Africa, wengine ni kama vile akina Julius Malema SA, Robert Chagulanyi-Uganda, Nelson Chamisa huko Zimbabwe, Juneti Mohd, Johnson Sakaja, Simba arati, Kipchumba Murkomen huko kenya na wale wengine wa kimapunduzi huko west Africa..,

Naweza kukiri kwa kiasi kwa sasa hivi kwamba huyu kijana vitu anavyosema na kuvitenda vina hulka na vinashabihiana na mwenda zake kwa kiasi, labda kadiri muda unavyo enda tutabaini mengine zaidi....

Hata pomoja na hayo,
Upepo na joto la kuibuka powerful young individuals wenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali na kwenye vyama vya kisiasa barani Africa unachochewa zaidi na kwamba wakongwe waliopo tangu uhuru wameshindwa kukonga nyoyo za wananchi na wameshindwa kuwaletea nafuu ya maisha tangu uhuru imani ya wananchi inahamia kwa vijana wa kisasa...

Tuelekepo huko mbeleni bara la Africa linaweza kuwa na viongozi vijana zaidi tena wa aina zote viongozi wa kimapunduzi lakini pia viongozi wa kidemokrasia....

Huyo kijana, wakati akitekeleza majukumu yake, akiweka kaheshma kidogo kwa watendaji wenzake na halafu akaweka na kaspidi ka standard , akondoa majivuno kidogo., l can confirm to you without fear of contradictions anaweza kuwavutia makundi mengi zaidi wamuamini zaidi na wampende zaidi na hatimae akawa kiongozi mkubwa zaidi nchini...
 
Ukisoma kwa jicho la ndani kabisa, ukituliza kichwa kweli na kuacha akili ya kawaida ifanye kazi, utagundua kijana yule machachari anayo nguvu kubwa tusioijua.

Alisakamwa sana baada ya 'Godfather' wake kuondoka Duniani, kulikua na hila, chuki na shinikizo kubwa aonjeshwe joto la jiwe, lakini mfumo ulimkingia kifua na yeye alibaki mkimya sana kiasi cha watu wengine kumbeza sana.

Mimi naamini kabisa kijana akituliza kichwa kidogo, akakua kifikra zaidi, busara kdg ikaongezeka... no doubt atakua ni mtoto pekee mpakwa mafuta wa kuja kutuvusha kwenda kaanani.
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, leo ni swali tuu kuhusu hiki Chuma kipya.
Baada ya mtu kupelekewa moto na akaachia ngazi mwenyewe, bado kuna ubishi kuwa hili ingizo jipya ni chuma cha ukweli kama chuma cha Mjerumani?. Je chuma hiki ni chuma kipya kingine ila ni kinafana tuu kama kile chuma au chuma hiki ni chuma kile kile kimerejea kivingine?!

Hili ni bandiko la dhana tuu ya kufikirika, yaani an hypothetical situation ya just thinking aloud by imaginations, hiki chuma ni cha moto!. Kwa wale walionisoma hapa Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... wakanielewa, wakilisoma bandiko hili watanielewa!, lakini kwa wasio elewa someni tuu na maisha yaendelee!.

Naomba nianze na hadithi hii fupi.
Ikumbukwe Masiha alikuja kwa ajili ya taifa la Mungu, ila alikataliwa na wale aliokuja kuwakomboa na wakamsulubisha!, ila ni kwa kuteswa kwake na kwa kupigwa kwake, sisi tumeponywa!.

Hivyo ndivyo Taifa letu la Tanzania lilivyo, ni taifa la Mungu. Mungu akatuletea mkombozi Nyerere, akamtwaa kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi.

Taifa likayumbayumba, hapa katikati kwa kufanywa kichwa cha Mwendawazimu huku kiuchumi tukifanywa ni shamba la bibi!, tukamlilia Mungu atuletee mkombozi mwingine, Baba Mungu akakisikia kilio chetu akatuletea Magufuli. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania ilihitaji Dikiteta, tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Chuma hiki kiliinyoisha nchi!, na nchi ikaanza kunyooka, vyuma vilikaza watu wakaanza kupiga mayowe, na kama ilivyo kwa manabii wengine Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika, kelele zilipozidi, mwishowe Mungu akamtwaa na kumchukua kwake mbinguni, kabla ya kutufikisha nchi ya ahadi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani.

Baada ya kumtwaa Magufuli, Mungu akatuletea Samia. Magufuli alikuwa chuma na alitawala taifa hili kwa mkono wa chuma, hivyo JPM alikuwa ni chuma!, ila Samia...

Tuambizaze ukweli, Rais Samia sio chuma kivile kwa uchuma wa Magufuli type, ila yeye naye ana uchuma wake kupitia jicho!. Rais Samia ana jicho hilo!, linaona kila mahali na kila pahala!. Sasa ili mambo yaende, hili taifa linahitaji chuma cha kulikimbiza mchaka mchaka!. Jicho la Mama Samia lika kispoti chuma fulani kikiwa kipo tuu!, Samia akakisajili chuma hiki na kukiita kumsaidia kule kwenye chama!, na kusema ukweli kilikuja moto, kwa mwendo wa mchamchaka, alianza kuwakimbiza kwa kuanza na kinara wao kwa kupewa ultimatum!, kisha mawaziri na watendaji wakaanza kuperekeshwa!.
Mara yakaibuka mayowe kila kona!.

Ndani ya CCM pia kuna baadhi ya makapi yalikuwa yamedanda, na kujishikiza kwa kujibananisha kama luba!, baada ya chuma kuingia baadhi ya makapi haya, yakapelekewa moto!, yakaanza kuishiwa nguvu, yakaanza kushindwa na kulegea!, baadhi yao ndio hawa sasa wameanza kuachia ngazi mwenyewe kwa kutafuta visingizio!.

Ni baada ya makapi haya kuanza kuachia ngazi, ndio sasa macho yangu yameanza kufunuka na kuona kwa hakika hakuna ubishi kuwa hiki ni chuma!. Swali ni, je chuma hiki ni chuma kingine ila ni kinafanana kama kile chuma, au chuma hiki ni chuma kilekile kimerejea kivingine?, ili kuja kuikamilisha kazi ya ukombozi mpya wa taifa letu!.

Ili kujua kama hiki ni chuma kile kile au ni chuma kipya karibu mitaa hii Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

CCM inazidi kuimarika, kupendwa na kukubalika, hadi makapi ya ndani ya chama, yameanza kujichuja yenyewe!!, si mnaona!.

Na hapa ndio mwanzo tuu wa hizi amsha amsha!, kama ni mvua, hii ni rasha rasha tuu!, mvua halisi ni 2025!.

Ila pia kijana ni msikivu sana, alianza kwa moto sana, tukampooza Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! sasa anakwenda vizuri!.

Na kwa vile humu umezuka mtindo ukimkubali mtu ukamsifia na kumpongeza, huchelewi kuitwa chawa!,
angalia huyu dogo sisi kaka zake, tumeanza nae wapi.

Mimi nilianza nae hapa Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Nikaja hapa Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Alipopitia misukosuko tukasimama nae kwanza kwa kutoa wito Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... kisha tukamshauri Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho Dhidi ya Mafanikio Yake!. Makonda Wapuuze! .
Kuna watu wenye roho za kwanini tukawaambia Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Na mwisho nikapendekeza Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Hivyo wandugu, kama hiki chuma ni kile kile, then kaeni mkao wa mguu sawa!, 2025 mambo ni yale yale na vile vile!. Msije kusubiria mpaka 2025 mambo yakatokea kivile, watu ndio mkaanza kupiga kelele baada ya mambo kutokea, msije kusema hamkujua, tumewaambia mapema kabisa mkae mkijua chuma bado kipo!.

Kiukweli kabisa kuna watu wana macho lakini hawaoni na wana masikio lakini hawasikii!.

Nawatakia Ijumaa Kareem

Paskali.
Subira huvuta heri!
 
Back
Top Bottom