Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Kisha ugonjwa utaisha!!?!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Itasaidia kuonyesha ukubwa au udogo wa tatizo na hasa hata kwa misukule kuelewa.

Kumbuka taarifa hakuna ili kuendelea kuwaaminisha misukule kuwa tatizo halipo.

Huwezi kuamini misukule inaamini idadi ya maambukizi ni 480 no more, no less tokea Apr 29!
 
UNAWEZA KUTUPA KUTUPA SABABU WHY ASIWE MAGOGONI AU CHAMWINO!.. HATA CHIZI ANAJUA KUA AMEJIFICHA
 

Mkuu Mayalla, Upo sahihi ila pia inapaswa ifanyike tafiti kujua vifo hivi vingi hasa hasa kwa hawa wakubwa wakubwa wanaavyodondoka ni magonjwa ya kupumua pumua kama vichomi na nimonia na sio Covid-19.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hatuwezi kuja kufungua kesi za 'mauaji ya kimbari' kwa watu waliokuwa na dhamana ila wakazembea na kusababisha watu wengi kufariki?
 
Hama nchi au leta dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
epuka kasumba sio kila kifo cha ugojwa ni corona weka mawazo huru magojwa yapo mengi sana kwa nn uchague corona pekeake bila uthibitisho? ukiona ivyo ujue teyari akili yako imezama kwenye kasumba inabidi utoke huko kufa kunasababu nyingi usikimbilie sababu moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako Mkuu Pascal. Nikiri kuwa nakukubali sana kwa umahiri wako.

Lakini pia kwa umahiri wako huo huo kaka yangu Pascal, lazima kuweka maanani muktadha wa sasa.

We are in the midst of a pandemic the like of which the world has not experienced since 1919. The pandemic is among us in our villages, towns and cities, causing death and ruining the economy!

It is not the fault of anybody in Tanzania, and we should join forces to face it and combat it.

Why should we resort to denial whereas the reality is right here in front of us? [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lete data za miaka mitatu tujenge hoja kinyume na hapo inakuwa ni kasumba tuu mana inawezekana vip kusema kasi ni kubwa bila takwimu za ulinganifu? kuwa na matangazo mengi ya vifo hakuthibitishi uwingi wa vifo mana sio vifo vyote hutangazwa sasa lete takwimu za miaka mitatu alafu uoneshe vimezidi vifo vingapi na sababu gani mana kunawatu wamechelewa kujua kuwa watu wanakufa sana mahosptali huko na kwa magojwa na shida mbalimbali pia watu kwakua hawana takwimu za nyuma wanajenga kasumba ya kilakifo ni korona tuepuke kasumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acheni kasumba kwani tatizo la upumuaji ni corona tuu mbona mnaleta dhana potufu yapo magojwa mengi tuu na hatari zaidi yanayo shambulia mfumo wa upumuaji na yanauwa watu miaka yote kabla ya corona na hayatagwazwi kama corona namaisha yanaendelea tuu kifo ni kifo tu sasa ukitangaza vya corona pekee inamana vifo vya TB sio vifo halali hii ya kutangaza vifo vya ugojwa fulani pekee kwamba ndio special nikasumba mbaya sana vifo vyote ni sawa tuu na magojwa yote yanauwa tena yanashirikiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi waliokufa kwa corona wanafika hata idadi ya waliolipukiwa na lori la mafuta pale moro mwaka jana? Je wanafika hata wale waliokufa maji kwenye ajari ya mv nyerere mwaka juzi? Kana sivyo iweje useme vifo vimeongezeka.

Ikitokea ukahifungia ndani kisha ukaamua kuitumia jf kama mwanahabari wako wa kukujurisha yaliyonje. Unawezadhani huko nje pametapakaa maiti tu kiasi kwamba hata pakukanyaga hamna. Yaani kama uko nje ya nchi na ukawa umaperuz jf unawezajua kuwa kule kwetu wameshaishako kumbe hujapoteza hata ndugu mumoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 

yupo nyumbani wajamweni..kwani na mimi maisha yakinipiga hapa mjini nikarudi kijijini nitakuwa nimekimbia mji???????????
 

Usisahau ulichoandika hapo siku gonjwa hili likipita karibu nawe.

Wanasema "he who laughs best laughs last".

Nikutie shime. Komaa mwanamme!
 

Haka kaupepo kakipita karibu na wewe uvae tu ujasiri. Ila usisahau bandiko lako hili.

Upepo ukikubadilikia usiache kuleta mrejesho japo kwa watakao kuwapo.
 

Mkuu utakuwa msukule kudhani vifo vya Corona vipo.

Chapa kazi mwaname hata vile 16 kipimo cha mbuzi kilikosea.
 
Bado pia katika mambo ya tafiti unaweza kabisa kulinganisha "mambo" katika kipindi kinachofanana kwa miaka kadhaa. Mfano, ni sawa kabisa kulinganisha misiba kwa mwezi uleule katika vipindi vya miaka tofauti. Hivyo unaweza kabisa kusema misiba ni mingi kuliko mwaka jana kwa kutazama tu takwimu za January-May kwa miaka hiyo miwili. Tafiti za namna hii ziko nyingi sana, hasa zenye mrengo wa kuonesha athari ya jambo lililotokea na katika kipindi cha ndani ya mwaka. Labda tu tuulize chanzo cha data za mtoa mada
 
Hiyo Data ya death toll unaipata wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushabiki wa kijinga na uzushi hauto kufikisha popote

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…