Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana


Alikuwa anaumwa tangu kitambo tuu
 
Ngw'ana ngw'ise Tanzania uwezo wa kurekodi kila kifo kinachotokea inautoa wapi?

Na tena sasa hivi watu wengi wanafia majumbani zaidi na wala hawapelekwi cha mochwali hivi vifo wana virekodi kwa namna gani?

Wengine wako vijiji ambavyo havina hata ki-dispensary cha kanisa wanakufa daily wanajuaje hivi vifo?
 

Mshereheshaji katika mazishi ya ruge,hakufanikiwa kurudi dsm,tuache upuuzi tutaisha kwa hofu kama ya kwako.
 
Wewe unabahati sana nimeokoka umbugira mbugira wako huo una bahati saba
Huko kuokoka kwako kunanihusu nini mimi?,we shika wokovu wako si kunambia na bahati

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Mshereheshaji katika mazishi ya ruge,hakufanikiwa kurudi dsm,tuache upuuzi tutaisha kwa hofu kama ya kwako.

Mkuu ni kweli mshehereshaji hakurudi lakini pia hakukuwa na tanzia nyingine kwenye tanzia ya ruge wala kwenye tanzia ya mshehereshaji.

Hali kadhalika hakukuwa na tanzia nyingine kati ya ruge na mshehereshaji about 7 days apart.

Tuacheni upuuzi wa kuwatoa watu kafara kwa ubinafsi wenu.

Leo tu hapa pana tanzia zaidi ya 4 and it is normal? Jana pia hivyo hivyo. Hivyo ni kweli hamuoni au mnaigiza?
 

Tumeshatahadharishwa virusi vya covid-19 vipo na dunia nzima inashuhudia cha muhimu ni kufuata masharti ya kujikinga na hili janga kuliko kusubiri serikali ikutangazie watu waliokufa kwa hili janga.
 
Huko kuokoka kwako kunanihusu nini mimi?,we shika wokovu wako si kunambia na bahati

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Ufala uache otherwise I'll be back to my evilness nikufundishe nidhamu
 
Magufuli anatumia fursa ya corona kupiga hela. Maofisa wote wa serikali walioko huko, ikiwa ni pamoja na wasaidizi, wanausalama nk wote wako kwenye majengo na mahoteli yake yaliyotapakaa Chato nzima.
 
 
Pasco stop being an idiot as such, Chato kuna ikulu ya Rais wa Tanzania?
Does the President work from his home?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasco stop being an idiot as such, Chato kuna ikulu ya Rais wa Tanzania?
Does the President work from his home?

Sent using Jamii Forums mobile app
Moja ya faida za jf ni kuelumishana
Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! - JamiiForums
When someone becomes a president, his status changes from being just a human being and turns into being an institution, rais sio binadamu bali ni Taasisi!.

His home is his home when he just eat, sleep and rest there, but if he works from home, then his home transforms into Ikulu ya Chato!.
Most welcome
P
 
Yani wewe mzee hujitambua wallah mbaya zaid teuzi zote zinakupita kushoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba kuna umafia unaendelea dhidi ya wahasimu halafu tunasingizia corona
 
Pamoja na kupigwa kimya, tatizo lipo na watu wanafariki hata kama hatupewi taarifa na wanaotakiwa kutoa ila wenye uwezo wa kusema na kupeana taarifa sisi na sisi tunazipata.
Hatari sana kusema kweli, huu ukimya kwenye utoaji wa takwimu unatia mashaka.
 
Pasco stop being an idiot as such, Chato kuna ikulu ya Rais wa Tanzania?
Does the President work from his home?

Sent using Jamii Forums mobile app
Amejikarantini na kujilokidauni kwao mazee, huku anamuhudumia mama yake mzazi, aje apambane vipi wataka?
Kazi za watu wa afya yeye anapokea taarifa na kuzifanyia kazi tu!
By the way, hata wabunge wetu wako makwao wakijitizamia afya zao nasi wapiga kura tunaendelea kuchapa kazi huku tukijikinga kadri ya uwezo wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…