Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #341
Sio sawa ndio maana nimetumia neno watoto nikimaanisha jinsia zoteJe mwanaume kuzaa sambamba na kijana wake mkubwa wa kiume ni sawa?
Yaani baba na mwanae wote wananunua pampers kwa ajili ya watoto wao wachanga.
Mtoto anakosa malezi ya baba kwa makusudiShida ipo wapi
Kuna dada alipishana na mke wa mwanaye mke wa mwanaye anaingia kujifungua naye anatoka haaa haaa alifunga na uzazi hapo hapo na alikuwa na watoto kama 10 hiviJenga picha mama ana miaka 45 binti ana miaka 21 wote wanakutana kliniki
Kama wapo tumboni nikuwatoa tu walete baraka duniani.Wanawake wenzetu wa Uganda na kando ya ziwa Victoria huko wanazaa hadi watoto 16, siyo huku mtu watoto 2 mama kachoka kachakaa.
Ndiyo mnapata sababu za kusema mama kazaa na binti kazaa.
Acheni wamama wazae, binafsi natamani ningezaa hata 6, kila mtoto ana furaha yake kwa mzazi.
Wamama zaeni watoto wengi ,kuna mwaka mtanikumbuka.
Ndiyo mnatangulizana clinic wewe na mkeo na Baba &mama wote kuhudhulia clinicAs
Askari wa Miguu hili suala wengi hawaoni Kama Ni Upuuzi Mkubwa.. vitu Vingine Ni aibu Sana Fikiri una Miaka 25 umeoa halafu Mama Yako huyo na litumbo lake eti Ana mimba..... Dah Afrika tuna shida Sana...
Pongezi kwa Baba ndiye kidumeWewe kama kijana wa miaka 25 unajiskiaje kumuona eti mama yako ni mjamzito?
Sawa mkuu,nnikajua umekuja na hoja kumbe malalamiko tu.Watu wenye mawazo Kama yako ndio sababu ya Tanzania kuwa nchi za mwisho kwa umasikini duniani, watu wake wengi wakiishi chini ya dola 1 kwa siku
Sawa mkuuMawazo ya kijima sana haya.
Lakini watoto wa uzeeni ndio huwafariji wazee baada ya wakubwa wote kuanza maisha yao na isitoshe siku hizi utamaduni wa kuwaachia wazee wajukuu wawalee ni kama unakufa, kheri hiyo kidogo inawaondolea upweke ndani ya nyumba
Hizi ndio mila potofu zinazopaswa kupigwa vita na waliostaarabikaMkuu siyo kukosa maadili huko ndiyo kufuata maadili ya Mtanzania.
Ni nani huyo aliyasema hayo mkuu?Lakini alishatwambia tufyatue tu!
nitaona kawaida, as long as kaipata kwenye mahusiano halali ya ndoa, yenye kueleweka, halafu,Wewe kama kijana wa miaka 25 unajiskiaje kumuona eti mama yako ni mjamzito?
Anatia sana aibu watoto wake wakubwaJirani yangu mama Fatuma ndio zake hizo.
mimi na mamangu mdogo mbona tuko rika moja, japo kanipita mwaka ama miaka miwiki tu, ila tuko rika moja na freshi tuMkuu, ni sahihi mtoto wa mwisho akalingana na mjukuu wa kwanza?
Huyo mama yako mdogo ni tumbo moja na mama yako mzazi?mimi na mamangu mdogo mbona tuko rika moja, japo kanipita mwaka ama miaka miwiki tu, ila tuko rika moja na freshi tu
ndioHuyo mama yako mdogo ni tumbo moja na mama yako mzazi?
Amri kutoka kwa mungu au ulevi wako tu na elimu kiduchu uliyonayo?Kama wewe huwezi kuzaa waachie wenye uwezo wa kuzaa, kuzaa ni amri kutoka kwa Mungu na sio kwako
Watoto wengi wa uzeeni huwa wanakuwa mataahira na wana uwezekano mkubwa wa kupata mtindio wa ubongo.Na mimi namuunga mkono mzee wangu ntafyatua mpaka nifikie idadi ya watoto wake au nimzidi kabisa
Kwetu tupo watoto kumi na mbili saba wa kiume watano wa kike na wa mwisho alizaliwa mwaka 2008 you never know mzee anaweza akafanya yake tena maana Ng'ombe hazeeki maini.
Upo sahihi ni vizuri sana kuzaa ujanani angalu ukifika miaka 40-42 iwe mwisho.Watoto wengi wa uzeeni huwa wanakuwa mataahira na wana uwezekano mkubwa wa kupata mtindio wa ubongo.
Ndio shida ya jamii ya watu wenye elimu kiduchu.
Mkizaa mataahira mnaanza kuisumbua serikali na jamii kwa ujumla. Mnatengeneza matatizo yanayoweza kuepukwa.
Atii ooh mie ntazaa mpaka tone la mwisho! SO WHAT? ni sifa?
Mbegu bora za watoto ni za ujanani! Sio unazaa mataahira ya uzeeni halafu unajisifu!