Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Mjue sana Mungu na uyajue makusudi yake kuhusu kuzaana hapo ndipo utakuwa umeelimika vya kutosha ila kwa sasa huna elimu yoyote pimbi wewe

Kuzaa taahira hakusababishwi na uzazi wa uzeeni, kwa mfano Ibrahim na mkewe Sara walizaa mtoto Isaka wakiwa wazee vikongwe unadhani Isaka alikuwa taahira?

La hasha
 
Ndiyo maana hamuendelei mmebaki jamii ya hovyo Kabisa Bora Hata wanyama.... Poleni sana
 
Amri kutoka kwa mungu au ulevi wako tu na elimu kiduchu uliyonayo?

Haiwezekani zee lina miaka hamsini bado linazaa tu!

Mtoto wako anazaa na wewe unazaa! SHAMEFUL!

Mnakuwa kama familia ya masungura!
Mkuu watu Ni wapuuzi Sana wanatetea ujinga ambao unaligharimu taifa kwa sana
 
Ndiyo maana hamuendelei mmebaki jamii ya hovyo Kabisa Bora Hata wanyama.... Poleni sana
Pole wewe maskini wa fikra usiyejua nini maana ya maendeleo .Ndiyo maana huwa mnamshangaa Babu yangu anamiliki ng'ombe elfu kumi mnasema maskini mkiwa mnamiliki tafsiri kuwa lazima aishi ghorofani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…