Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 3,384
- 4,428
Unataka aongee blue ocean strategy kama yule wenu wa Zanzibar ati blue economy? Mind you Lisu target yake na strategy yake inatarget walengwa waliochoka maisha. Na haya ndiyo size yao Walengwa.Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Umemwaga maji ya moto shimoni, ngoja nungunungu watoke baru toka shimoni, jiandae kwa kupokea matusi toka kwa nyumbu hodariKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Lissu siyo size ya LowassaKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Tena wamepanic vibaya mnoooo nyambafuuu zao!Lissu amemwaga mafuta ya taa kwenye mashimo yameanza kujitokeza majoka.
Najiona mimiKwani wewe unaonaje bwashee?!
Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee mimi nimejaribu kuwafananisha tu!Hiv bwashee mbna mnateseka sana na huyu The Greatest
Mkuu wa kazi kaziniView attachment 1568033
Bwashee mimi nimejaribu kuwafananisha tu!
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania upinzani ndio umesimamisha mgombea pure wa upinzani, anayeijambisha vilivyo ccm na vibaraka wake na ndiye mgombea pekee ambaye uchoki kumsikiliza, kila muda anavyozidi kuhutubia ndivyo anavyoziteka hisa za wTu.Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona Lukuvi kila siku anawarudishia wananchi mashamba yao yaliyoporwa na mafisadi?!Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania upinzani ndio umesimamisha mgombea pure wa upinzani, anayeijambisha vilivyo ccm na vibaraka wake na ndiye mgombea pekee ambaye uchoki kumsikiliza, kila muda anavyozidi kuhutubia ndivyo anavyoziteka hisa za wTu.
Lisu leo kule Ifakara amerusha turufu yake vyema kwenye swala la ardhi, akiingia madarakani huyu jamaa mafisadi wote wa ccm mliyojimilisha ardhi na kuacha wanyonge bila ardhi mtajamba cheche.
Huyo bubu alipigiwa kura nyingi tu pamoja na ububu wake na hadi leo inadaiwa kuwa ccm walifanya figisu ila kihalali bubu alishinda.Lisu sio bubu, 2015 ukawa walikuwa na mgombea bubu.
Msaliti kwa historia yake haiwezi kumfanya kuwa bora kwa loloteKwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!
Na mbona hayupo kwa kampeni?Usituondoe kwenye mstari Bwashee, kama Lowassa ni muhimu kwanini hamkumpa fomu?!
Kama itakavyotokea Oct. 28, lkn kumbua lowasa vyama viliungana lkn lisu ni one party tu.Huyo bubu alipigiwa kura nyingi tu pamoja na ububu wake na hadi leo inadaiwa kuwa ccm walifanya figisu ila kihalali bubu alishinda.
Kwahiyo utaona watu wana stress zao issue Lissu wala Lowassa hata wakiwekewa Nabii Tito watamsifu na kumpigia kura tu.
Ningekushangaa kama usingemtaja Lowasa kwani bila yeye watoto wako hawezi kunya!Kwa bahati nzuri niliisoma mipango ya mgombea urais wa Chadema 2015 kupitia machapisho yake na nimemsikilizza Tundu Lisu katika mikutano yake ya kampeni.
Japo Lowassa alikuwa haongei sana lakini Lisu inabidi aongeze juhudi kuifikia nguvu ya ushawishi ya yule mzee.
Maendeleo hayana vyama!