ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Good!alafu kiendeshwe na nani?
Kama wewe ni mtu uliyezaliwa na kukua sehemu moja mpaka leo, hii comment yako nitaielewa.Dawa hapa ni Lissu ili Tiwe na majimbo kila mtu ale usawawakamba hizi hela zinakopwa halafu wakati wa kulipa tunalipa wote nchi nzima
Ndio lakini sasa gari hazitakuwa zinasubiri kivuko hapa samanga, watakuwa wanaenda kupitia usagara,wanavuka daraja wapo sengerema ndani ya nusu saa, badala ya kumaliza masaa mawili wanangoja ferry ije.Mkuu halijengwi Kananga Bali busisi ferry
Hawa watu wanaotangaza kuwa na bima ya afya huku wanapinga ujenzi wa hospitali na vituo vya afya ni shida sana.Ubongo wako ushughulishe kidogo hivi wewe na akili zako hujui humuimu wa daraja linalounganisha mkoa mmoja na mkoa mwingine,kwanini lakini chadema mnakuwa nyumbu hivyo ,kabla ya swali lako ungejiuliza umuhimu wa madaraja yafuatayo:nyerere la kigamboni,kikwete la malagarasi,mkapa la rufiji,wami la mto wami na maeneo hayo yote yalikuwa na vivuko kabla ya ujenzi wa madaraja hayo.
Hii nchi bila kuwa na sera ya majimbo tutaendelea kufanywa wote wajinga,wataoona vipaombele kwao ni ndege na madaraja wafanye maeneo yao, haingii akilini vitu vya msingi kwa ustawi wa watu havifanywi afu mtu anatumia vibaya madaraka kwa matumizi yasiyo na msingi. Lisu alisema katiba inamfanya mtu aitwae rais kuwa alpha na omega ndio Kama hivi sasa.Dawa hapa ni Lissu ili Tiwe na majimbo kila mtu ale usawawakamba hizi hela zinakopwa halafu wakati wa kulipa tunalipa wote nchi nzima
Alitaka wajenge kwao uchagani!Kuna siku nilikua naenda Bukoba, tulikaa masaa 3 kusubiri kivuko, unadhani hiyo ni Sawa!
Mkuu watu wengine huwa hawajui wanachokisema, wanaandiika tu, Hapo Busisi watu ni wengi Sana wanaovuka kwa siku, ukifika hapo unaweza kusubiri kivuko kwa zaidi ya dakika 20, kikifika unatumia zaidi ya dakika 35 kuvuka ng'ambo, mtu bado haoni umuhimu wa Hilo daraja.Lissu alipita hapo kigongo ferry akaubeza huo mradi lakini mhe Magufuli aliusifia na kueleza umuhimu wake. Ngoja tuone tar 28 wananchi watatuambia.
Mimi ninavyofahamu hilo eneo kwa siku linapitisha magari na watu wengi sana. Kuvuka kwa kivuko inakula kama dk 30 mpaka 45.
Hata angefanya hivyo, wapo watu wangepinga na kusema Ni maendeleo ya vitu, huenda hata wewe ungekuwa ni mmoja wao.Hizo hela ni bora angejenga viwanja vya mpira kila kuboresha industry ya football ili kupunguza hii concepts za kukosa ajira yaani CCM hovyo tu.
Wewe watu Wana suffer unazungumzia habari ya mbeleni, natamani maviongozi yote ya ccm yangefia jela tu huko,ndio maana huwa Kuna wanauchumi kufanya cost benefit analysis, kipi kifanyike sasa na kipi mda wa Kati na kipi Cha baadae ,vyote vinafanywa kwa principal za uchumi sio kwa utaratibu wa ndoto za usiku za mtu mmja.Faida zitaonekana mbeleni
Kama mnanunuaga vivuko chakavu, vya zamani kwanini msizame?ILA UMESUBIRI MANTIKI YA KUONA MAMIA YA WATANZANIA WANAOISHI MWANZA NA GEITA WAMEZAMA NA KUTEGETEA NA VIVUKO VYA BUSISI NA KAMANGA NA KIGONGO.
HIVI CHADEMA KITU GANI KIMEWAVURUGA??
[emoji15][emoji15] we jamaa, hicho ulichoandika hapo [emoji867]ndicho ambacho ubongo wako unafikiria[emoji848]?Wajengee hospitality pale walipo, wawe stabilized then ndio wapelekwe bugando. Kusafirisha wagonjwa mahututi ni ushamba. Lisu alipelekwa ubelgiji, je kuna daraja kati ya tz na ubelgiji
Haiwezekani kila mtu akawa anajipangia Cha kufanya ndio maana Kuna vipaombele vya kitaifa vinavyoratibiwa na wataalamu wa uchumi baada ya kufanyia utafiti mahitaji ya msingi ya wananchi. Kujenga viwanja ni upuuzi Kama huu tu wa madaraja.Hata angefanya hivyo, wapo watu wangepinga na kusema Ni maendeleo ya vitu, huenda hata wewe ungekuwa ni mmoja wao.
Mkuu hakuna namna, tuwavumilie tu hawa [emoji2][emoji2], kuna hoja wanaanzisha mpaka unakosa hata jibu la kuwapa.ILA UMESUBIRI MANTIKI YA KUONA MAMIA YA WATANZANIA WANAOISHI MWANZA NA GEITA WAMEZAMA NA KUTEGETEA NA VIVUKO VYA BUSISI NA KAMANGA NA KIGONGO.
HIVI CHADEMA KITU GANI KIMEWAVURUGA??