Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi weweSawa.
Endelea na ujinga WAKO.
Kwahiyo Baka Akicheza Fainali na nteje atacheza Fainali?????
Mbona kapama hajacheza fainali
FICHA UJINGA WEWE.
Tusubiri ligi ianze mtadhihirisha umbumbumbu wenuHahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe
Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe
Punguza gubu, kuwa na subira...muda utaongeaBado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24
Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.
2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.
Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.
3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.
Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.
4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.
5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee
6 . Kosa LINGINE kubwa zaidi. MSIMU ILIYOPITA Simba ilikuwa na Mabeki WA kati. ONYANGO, Inonga, KENEDY, Ottara na Sometimes Nyoni.
Leo Simba Ina Mabeki 3 WA kati hata kugawana mazoezini ni shida.
MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE.
NAFASI ,ZA KIGENI NI 12 TU.
NA ZIMEISHA.
Naomba Uzi Huu ujadiliwe na wanaojua mpira tu . Na si mashabiki Maandazi
Kwani ni lazima kuchezesha beki wa kigeni?2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.
Mafisango na Kotei,ni moja kati ya viungo wakabaji wazuri sana kuwahi kuchezea Simba Sc.Asante kwa mchango wako.
USIFANANISHE Manchester city na Simba. TAFADHALI.
NIMEONA Simba IKIWA na Viungo wakabaji pure No 6
1. Mafisango
2. Kotei.
3. Tadeo LWANGA.
4. SAWADOGO.
Uwe na Uhakika na Maoni yako kaka. USIPOTOSHE.
Usikariri. Simba bila hata Baleke ilikuwa na mabao mengi kwenye ligi na katika mechi za kimataifa5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee
Kwani ni lazima kuchezesha beki wa kigeni?
Usikariri. Simba bila hata Baleke ilikuwa na mabao mengi kwenye ligi na katika mechi za kimataifa
Punguza gubu, kuwa na subira...muda utaongea
Na ww usifananishe simba ya miaka hiyo na hii ya sasaAsante kwa mchango wako.
USIFANANISHE Manchester city na Simba. TAFADHALI.
NIMEONA Simba IKIWA na Viungo wakabaji pure No 6
1. Mafisango
2. Kotei.
3. Tadeo LWANGA.
4. SAWADOGO.
Uwe na Uhakika na Maoni yako kaka. USIPOTOSHE.
Akili yetu inawaza super legue sio ligi kuu pole sanaTusubiri ligi ianze mtadhihirisha umbumbumbu wenu
Na ww usifananishe simba ya miaka hiyo na hii ya sasa
AISEE!!Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe
Usisahau Simba Day Ni tarehe 6!Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.
Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.
NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.
1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.
2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.
Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.
3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.
Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.
4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.
5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee
6 . Kidogo wamenifurahisha kwenye no 10.
Phili, Saido, chama.
MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE. MSIJE MKAANZA LAWAMA.
NAFASI ,ZA KIGENI NI 12 TU.
NA ZIMEISHA.
Naomba Uzi Huu ujadiliwe na wanaojua mpira tu sio mashabiki Maandazi