Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Sawa.

Endelea na ujinga WAKO.

Kwahiyo Baka Akicheza Fainali na nteje atacheza Fainali?????

Mbona kapama hajacheza fainali

FICHA UJINGA WEWE.
Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe
 
Tusubiri ligi ianze mtadhihirisha umbumbumbu wenu
 
Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe

Ndio Maana nilitoa tahadhari kwa kuomba ANDIKO langu lijadiliwe na WATU WENYE AKILI TIMAMU.
 
Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.

Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.

NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.

1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.

2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.

Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.

3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.

Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.

4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.

5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee

6 . Kosa LINGINE kubwa zaidi. MSIMU ILIYOPITA Simba ilikuwa na Mabeki WA kati.5. ONYANGO, Inonga, KENEDY, Ottara na Sometimes Nyoni.
Leo Simba Ina Mabeki 3 WA kati hata kugawana mazoezini ni shida.

MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE.
 
Bado nazidi kuona makosa makubwa kwenye usajili wa Simba. Kwa mwendo huu mashabiki jiandaeni maumivu tena na tena 2023-24

Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.

Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.

NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.

1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.

2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.

Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.

3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.

Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.

4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.

5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee

6 . Kosa LINGINE kubwa zaidi. MSIMU ILIYOPITA Simba ilikuwa na Mabeki WA kati. ONYANGO, Inonga, KENEDY, Ottara na Sometimes Nyoni.
Leo Simba Ina Mabeki 3 WA kati hata kugawana mazoezini ni shida.

MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE.

NAFASI ,ZA KIGENI NI 12 TU.
NA ZIMEISHA.

Naomba Uzi Huu ujadiliwe na wanaojua mpira tu . Na si mashabiki Maandazi
Punguza gubu, kuwa na subira...muda utaongea
 
Asante kwa mchango wako.

USIFANANISHE Manchester city na Simba. TAFADHALI.

NIMEONA Simba IKIWA na Viungo wakabaji pure No 6
1. Mafisango
2. Kotei.
3. Tadeo LWANGA.
4. SAWADOGO.

Uwe na Uhakika na Maoni yako kaka. USIPOTOSHE.
Mafisango na Kotei,ni moja kati ya viungo wakabaji wazuri sana kuwahi kuchezea Simba Sc.
 
5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee
Usikariri. Simba bila hata Baleke ilikuwa na mabao mengi kwenye ligi na katika mechi za kimataifa
 
huyu kocha nilimwona mpuuzi kwa kushindwa kufanya sub kwa wakati na kung'ang'ania wachezaji walewale,;lakini kwa kuangalia 7dadi ya wachezaji wa kigeni tungemzuia Kakolanya kwa Bei yoyote halafu kwa Timu tuliyonayo tulihitaji wachezaji wachache sana.
 
MPIRA wetu una madudu mengi mno.
Tukiandika hapa HATUWEZI kumaliza.

1. Simba Ina TATIZO KUBWA sana kwenye No 6.
Hadi saizi nafasi zimejaa hakuna waliemsajili UJINGA mtupu

Hadi sasa Wamesajili JUMLA ya mawinga 11.

2. Eneo la beki wa kati
MSIMU uliopita lilikuwa na Inonga, onyango, Ottara Nyoni na KENEDY JUMA.
Eo hii wamebakiwa na wachezaji watatu tu3 Mabeki, hata wakijigawa mazoezini hawatoshi.

UONGOZI WA SIMBA AMKENI ACHENI UPUMBAVU
 
Kwani ni lazima kuchezesha beki wa kigeni?

MSIMU uliopita.
ONYANGO.
INONGA.
Ottara.
KENEDY.
Nyoni.

Leo hii wamebaki Mabeki WA 3
INONGA
Malone.
Kededy.

Mmoja akiumia au akiwa na ADHABU ni shida......

Nusu Fainali tutaendelea kuisikia redioni
 
Usikariri. Simba bila hata Baleke ilikuwa na mabao mengi kwenye ligi na katika mechi za kimataifa

Mashabiki WAJINGA kama NYIE ndio mtaji wa akina MANGUNGu.

Unataka kucheza Nusu Fainali Bado uendelee kuwa na mshambuliaji mmoja tu ????

Nusu Fainali tegemea kukutana na Alahaly, raja widad au raja.
Hawa wote tumekuwa tukiwafunga kagoli kamoja na ka kubahatisha.

FIKICHA akili
 
Asante kwa mchango wako.

USIFANANISHE Manchester city na Simba. TAFADHALI.

NIMEONA Simba IKIWA na Viungo wakabaji pure No 6
1. Mafisango
2. Kotei.
3. Tadeo LWANGA.
4. SAWADOGO.

Uwe na Uhakika na Maoni yako kaka. USIPOTOSHE.
Na ww usifananishe simba ya miaka hiyo na hii ya sasa
 
MAWINGA TISA

Katika kikosi cha Simba msimu uliopita ukiachana na Luis Miquissone na Chama ambao wameuzwa, wamebaki wachezaji wengine watano ambao wanacheza katika nafasi ya winga.

Wachezaji hao watano ambao msimu uliopita walicheza kama mawinga walikuwa Perfect Chikwende, Morrison,

Dilunga, Bwalya na Ajibu ambaye alijiondoa katika kikosi kabla ya kumaliza mechi za msimu na sasa yupo kamili.

Katika dirisha hili la usajili ambalo linaelekea ukingoni wamesajiliwa wachezaji wanne ambao wanaweza kucheza kama mawinga, na kati yao lazima wawili watacheza na wengine watakuwa benchi.

Mawinga ambao wamesajiliwa dirisha hili na itakuwa sio rahisi kwao kucheza kikosi cha kwanza iwapo hawatakaza msuli ni Peter Banda, Pape Sakho, Duncan Nyoni na Yusuph Mhilu. Kutokana na hali hiyo ni wazi usajili wa mawinga wanne na wale watano ambao walimaliza na kikosi msimu uliopita kuna wapya kwenye mechi nyingi wataishia benchi au kukaa jukwaani.
 
Na ww usifananishe simba ya miaka hiyo na hii ya sasa

MAWINGA TISA

Katika kikosi cha Simba msimu uliopita ukiachana na Luis Miquissone na Chama ambao wameuzwa, wamebaki wachezaji wengine watano ambao wanacheza katika nafasi ya winga.

Wachezaji hao watano ambao msimu uliopita walicheza kama mawinga walikuwa Perfect Chikwende, Morrison,

Dilunga, Bwalya na Ajibu ambaye alijiondoa katika kikosi kabla ya kumaliza mechi za msimu na sasa yupo kamili.

Katika dirisha hili la usajili ambalo linaelekea ukingoni wamesajiliwa wachezaji wanne ambao wanaweza kucheza kama mawinga, na kati yao lazima wawili watacheza na wengine watakuwa benchi.

Mawinga ambao wamesajiliwa dirisha hili na itakuwa sio rahisi kwao kucheza kikosi cha kwanza iwapo hawatakaza msuli ni Peter Banda, Pape Sakho, Duncan Nyoni na Yusuph Mhilu. Kutokana na hali hiyo ni wazi usajili wa mawinga wanne na wale watano ambao walimaliza na kikosi msimu uliopita kuna wapya kwenye mechi nyingi wataishia benchi au kukaa jukwaani.
 
Hahaha basi nilitaka kujua tu kumbe jamaa ni utopororo sibishani na utoporo na safari hii hakuna kuangukia shirikisho...labda nikukumbushe tu sisi tupo 2nd pot wewe upo 4th pot manaake utapangwa na 1st pot mtoano first pot ni alhahly, wydad, mamelodi na esperense de tunis kiufupi huingii hata makundi chupi wewe
AISEE!!
 
Habari ndugu ZANGU.
Mimi ni mdau WA soka.
Na mpenzi na mdau wa Simba.

Nimekuwa nikifuatilia usajili HASA WA wachezaji wa KIGENI ndani ya simba.

NIMEWEZA KUYAONA MAKOSA YAFUATAYO KIUFUNDI.

1. KOSA kubwa la Kwanza ni KUMUACHA Golikipa Beno kakolanya., Hivyo wanalazimika KUSAJILI Golikipa wa kigeni. Baada ya Manura KUUMIA. (Santos)
Hivyo kujinyima WiGo WA wachezaji wa ndani.

2. KOSA la pili Kukosa beki MBADALA WA KIGENI WA Che Malone na Inonga Incase Wana Kadi au WAKIUMIA.

Na hapohapo wamekosea MBADALA WA Mohamed Hussen.
YAHAYA mbegu ameng'ang'ania SINGIDA akiwa na GADIEL Michael ALIYE ondoka.

3 . KOSA KUBWA KABISA KABISA NI KUKOSA BACKBONE YA TIMU/ UTI WA MGONGO WA TIMU KIUNGO MKABAJI CDM 6
Tangu AMEONDOKA LWANGA , mkude, Nyoni na sawadogo hakuna MBADALA wao.

Japo Kunatetesi na Unafuu nasikia NGOMA amesaini Simba hii itakuwa nafuu Ila NGOMA ni 8.

4. KOSA LINGINE ni kujaza idadi kubwa ya Mawinga
I. Saido.
Ii. Onana.
Iii. kibu Denis
Iv. Sakho, Banda
V. Chama.
Vi Aubin Kramo.

5. KOSA LINGINE usajili WA mshambuliaji mmoja tu no 9. Jean Baleke.
Boko AMEISHA.
Ile Simba ya Makombe ilikuwa Kagere, Boko na mugalu saizi ni Baleke pekee

6 . Kidogo wamenifurahisha kwenye no 10.
Phili, Saido, chama.

MAKOSA NI MENGI MNO MUDA NI MCHACHE.
SIMBA NA ROBERTINHO REKEBISHENI HAPA.
USHAURI WA BURE. MSIJE MKAANZA LAWAMA.

NAFASI ,ZA KIGENI NI 12 TU.
NA ZIMEISHA.

Naomba Uzi Huu ujadiliwe na wanaojua mpira tu sio mashabiki Maandazi
Usisahau Simba Day Ni tarehe 6!

Unyama mwiiiingiiiii
 
Back
Top Bottom