We ndio wale wanaitwa wenye akili hp JF? Sasa km we ndio mwenye akili hao wengine wakoje? We unachoweza ni kuandika hadithi za kusadikika tena za mambo ya uchawi siasa huijui na huiwezi.Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Masikini nawaona mnavyoumia! Nilisema kuingia kwa Tundu Lissu kuliingiza jinamizi Chadema hamkunisikilizaMmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Hawa si CHAUMA ni CDM masaliaChauma ni tawi la ccm linalopokea maelekezo yote. Walivyokuwa hawana haya eti watapewa wabunge.....mnagawana nchi kama mali ya mwendawazimu.
Majimbo hayo ya kuwagawia Chauma ndiyo maana tuna taka reforms.....huu moto hautapoa
Chiba ndio jeneza la CdmHakuna atakayeweza kukiua hiki chama
Hakika mama Samia ni kiboko, anawachanganya mpaka wazee kiasi kwamba imefika wakati hawajui hata mada wanayoianzisha inazungumzia nn?!!!! Hatari sana.Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?
99% ya wanachama wapya wa CHAUMMA ni wana CHADEMA walioondoka CDM kwa njaa zao... LAKINI ndani yao wamepandikizwa mashushushu wa kutosha sana.. Kwahiyo hakuna kinachofanyika CHAUMA, CDM isijue..! Tena mapema kabisa
hata kabla ya ccm
Sasa tukiachana na hayo.. Bado ccm inazidi kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.. Hao wanachama wapya ni wanachama waliokulia na kukomaa CHADEMA, Kisera kimaono kiitikadi na kimfumo..
Wamezoezwa kuwa huru.. Huko waliko ni itikadi za CDM ndo zitawaongoza
Hivyo mpaka sass ni CHADEMA na CHADEMA.. CCM byebyeView attachment 3341066
Chadema ni chama cha wanainchi. hakiwezi kufa. chadema ni itikadiCCM imeiua chadema kisayansi. Hadi mwezi wa 7 chadema itakuwa imeishazikwa.
Sioni kitu cha ajabu hapa, ila makosa ya kiuandishi tu. Hata Chadema Hence anatoa kofia na kila mfurukutwa anachanga. Wangekuwa wanalazimisha ofisi za serikali au mashirika ya umma kuchanga, hapo ndipo kungekuwa na ukakasi.Usitake tuweke hata visivyofaa kuwekwa hapaView attachment 3341099
CCM inazidi kufutika kwenye siasa za Tanganyika? Seriously?Mmekiona CHAUMMA? na vile kinavyopewa push na ccm kwa mlango wa nyuma?