Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #81
Mie binafsi I dont care whether ni CCM, au Chadema au nani sijui wanaongoza nchi. I believe in people, not vyama vyao. Najua CCM mna watu wazuri tu, wazalendo wa kweli, lakini pia najua mna mafisadi waliokubuhu. Najua pia Chadema wana wazalendo wazuri na pia wachumia tumbo. Kuna wakati CCM katika ujumla wao wanaongea na kufanya utumbo uliooza, kama vile tu Chadema na wengineosiamini kuwa wewe huoni tofauti ya sisi na CCM yetu, na wao na vyama mbalimbali vilivyoweza kushika madaraka.
Umateka uliowekwa na CCM, kwamba huwezi kamwe kuwaondoa madarakani umekuzima akili kabisa?
So whether raisi wangu ni CCM au Chadema, au TLP is immaterial, nataka kiongozi msafi, asiye fisadi mzalendo wa kweli. Sasa kama wewe umeamua kuifanya CCM kama mama au baba yako, hilo ni juu yako bwana, wewe sio mimi. Watu wanaachana katika ndoa pamoja na kuwa na watoto itakuwa uhusiano kati yao na chama chao? Labda kama ni mwendawazimu unaona ni rahisi kuachana na mkeo au mumeo akikukosea kuliko kuachana na chama chako kinapofanya upumbavu