Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

Mkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Kinacho kwenda kutokea ni kama pale Scotland Kuna muda Celtic walitwa Ubingwa mfululizo mpaka ikawa haileti maana dhidi ya wapi nzani wao Rangers.

Yaani Rangers walikua wakifungwa mpaka upinzani ukakosa Radha na Makombe waliyasikia kwa jirani tu.
 
Mimi siwashauri Yanga kuamini kwamba hiyo tarehe 8 watapata mteremko. Badala yake nashauri kila timu ijiandae tu vizuri, ili tushuhudie mchezo mzuri. Na mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki.
Ofkoz hakutakuwa na mteremko kwetu Yanga ila tunaiona Simba ikiingia ktk hofu kubwa mno dhidi ya Yanga.

Hii game ingekuwa ni ligi, Simba angepambana sana atafute droo.
 
Ofkoz hakutakuwa na mteremko kwetu Yanga ila tunaiona Simba ikiingia ktk hofu kubwa mno dhidi ya Yanga.

Hii game ingekuwa ni ligi, Simba angepambana sana atafute droo.
We simba umeiona wapi ikiwa na hofu?
 
Back
Top Bottom