GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Bado wanajijenga na Kiufundi Timu inayojengwa inahitaji ama Msimu Mmoja au Miwili kuwa sawa. Acheni kuwa Wabishi Simba SC yetu bado sana japo najua katika Derby lolote laweza kutokea ila haiondoi ukweli kuwa bado Kikosi kinajengwa ili kiwe bora kwa miaka mingi ijayo. Tukiwafunga Yanga SC katika Ngao ya Jamii nitauchukulia huo Ushindi kama wa Ngekewa / Bahati tu ila Uhalisia utabaki ule ule kuwa Timu ( Simba SC ) bado sana ukiilinganisha na Yanga SC ambayo sasa imeshakaa vyema katika Reli.Simba ushawaona?