Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

Si uhamie utopoloni naona unawapenda sana
 
Tajiri Mo Dewji kakubali kutolewa Kafara ili Afe na Timu ishinde Siku hiyo kama usemavyo?
Hilo sifahamu najaribu tu kuwaza vile kila mtu anaidharau simba na hiki kitu hata wao wachezaji lazima watakua wanakiona na sidhan kama watakubali
 
Na wewe uliepigwa kono la nyani ukiwa nafasi ya tatu nani ana afadhali?
Maduka mliyonunua kuruhusu magoli tumeyatimua,wazee pia tumetimua, na sasa tuna timu iliyojaa vijana ni mwendo wa kuwakanda tu, tutawakimbiza hao wazee wenu mpaka wameze ulimi
FB_IMG_1722068076235.jpg
 
Kwenye zile goli Nne za jana Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs,....Goli tatu zote ni uzembe wa mabeki wanafanya kuwapasia kina Aziz KI kabisa,....sasa usitegemee Yanga akicheza na Simba au Azam atapata mteremko kama ule wa jana,...

Ukitaka ujue Yanga haitishi kama unavyodhani katazame mechi yao na TS Galaxy....🤣
 
Kwenye zile goli Nne za jana Yanga dhidi ya Kaizer Chiefs,....Goli tatu zote ni uzembe wa mabeki wanafanya kuwapasia kina Aziz KI kabisa,....sasa usitegemee Yanga akicheza na Simba au Azam atapata mteremko kama ule wa jana,...

Ukitaka ujue Yanga haitishi kama unavyodhani katazame mechi yao na TS Galaxy....[emoji1787]
Ukiangalia mechi dhidi ya Galaxy na Yanga vs Augsburg utaona Yanga iliingia uwanjani kwa lengo la kuwafanya wachezaji wake wote wacheze. Kipindi cha kwanza Gamondi aliwaweka wazawa tupu, na kipindi cha pili akawaingiza wachezaji wengi wa kigeni ila hakuzingatia wanaomudu nafasi zao vyema ni wakina nani. Ila dhidi ya Kaizer, Gamondi alionesha anahitaji ushindi ndio maana unaona kikosi kikiwa na watu wanaomudu nafasi ipasavyo na Chama akaanzia benchi.

Mpaka sasa, timu ya Simba haijajulikana ni timu ya aina gani lakini Yanga mchezo wao upo wazi sio siri. Sapraizi ya Simba inaweza kuja na mambo mengi inaweza kuwasapraizi mashabiki wa Simba wenyewe au wa Yanga. Nadhani mechi dhidi ya APR itatoa picha kamili kuelekea mechi ya tarehe 8
 
Timu inayengenezwa ila tunacheza mechi za kirafiki na timu za uchochoroni tena kwa siri matokeo yanafichwa kama bangi , mashabiki hatujui hata timu inachezaje
Timu inatengenezwa ulitaka Simba ucheze na Nani? Madrid. Kumbe kuna watu humu hata hawajui lolote kuhusu soka. Mwalimu ndo kwanza anatengeneza pattern afu ucheze mechi yenye intensity kubwa 😂😂 dah
 
Ukiangalia mechi dhidi ya Galaxy na Yanga vs Augsburg utaona Yanga iliingia uwanjani kwa lengo la kuwafanya wachezaji wake wote wacheze. Kipindi cha kwanza Gamondi aliwaweka wazawa tupu, na kipindi cha pili akawaingiza wachezaji wengi wa kigeni ila hakuzingatia wanaomudu nafasi zao vyema ni wakina nani. Ila dhidi ya Kaizer, Gamondi alionesha anahitaji ushindi ndio maana unaona kikosi kikiwa na watu wanaomudu nafasi ipasavyo na Chama akaanzia benchi.

Mpaka sasa, timu ya Simba haijajulikana ni timu ya aina gani lakini Yanga mchezo wao upo wazi sio siri. Sapraizi ya Simba inaweza kuja na mambo mengi inaweza kuwasapraizi mashabiki wa Simba wenyewe au wa Yanga. Nadhani mechi dhidi ya APR itatoa picha kamili kuelekea mechi ya tarehe 8
Umeandika facts brother.
 
Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
[/QUOTE Kama mpira ni kujificha ficha basi mwaka huu mnyama ndiyo bingwa ila kama mpira ni mchezo wa wazi basi tareh 8 tujiandae na kipigo kutoka kwenye timu yenye kiu ya mafanikio.
 
Back
Top Bottom