Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

Mimi siwashauri Yanga kuamini kwamba hiyo tarehe 8 watapata mteremko. Badala yake nashauri kila timu ijiandae tu vizuri, ili tushuhudie mchezo mzuri. Na mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki.
Nasikia VAR Itakuwepo
 
Mkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Timu inayengenezwa ila tunacheza mechi za kirafiki na timu za uchochoroni tena kwa siri matokeo yanafichwa kama bangi , mashabiki hatujui hata timu inachezaje
 
Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Ubgetaja kabisa na idadi ya magoli mtakayofungwa. Au yatakuwa kitarehe kama ilivyokuwa ile yale tarehe tano?
 
Mkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Timu itengenezwe imekuwa barabara hiyo? Sisi tunawakanda tu. Mwakani mnawatimua tena wote kama mwaka huu mnatengeneza tena timu
 
Attachments

  • Screenshot_20240729-145739.png
    Screenshot_20240729-145739.png
    280.6 KB · Views: 1
Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Wewe nae usiwashtue bwana Simba mnayo timu hatari ya vijana watupu, mazoezi yenu kule misri ni balaa, mnacheza na timu ngumu mno kiufundi kiasi Cha kwamba amtaki muonekane na watu watawaibia mbinu zenu ambazo azijawai kuonekana kwenye bara hili la Afrika🤣🤣🤣🤣🤣
 
Shabiki mihemko kaa mbali na Simba nenda uko utopoloni ukaungane nao
 
Kama kuna mtu wa Simba hajapata warning walichofanywa Kaizer Chiefs basi yupo kwenye wale waliosemwa na Chines proveb.....

Some people ar not crying until they see a coffin.
Timu iliyozidiwa point 6 na timu iliyoshuka daraja nayo ni ya kutamba kua umeufunga uanze kutishia watu? Kaizer ni Wagonjwa
 
Back
Top Bottom