GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jibu gani tena mzee? Tar 8 kukandwa lazima tunakuja kupiga kwenye mshonooo!Tarehe nane jibu litapatikana
Uzuri hua unasema ukweli, hautaki mambo ya uongo uongoHapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
MmmmhMechi za Simba na Yanga huwa zina matokeo yake yasiyotegemeana na ubora wa timu...
Labda wazee wa figisu wasihusishwe...
Kinacho kwenda kutokea ni kama pale Scotland Kuna muda Celtic walitwa Ubingwa mfululizo mpaka ikawa haileti maana dhidi ya wapi nzani wao Rangers.Mkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Mkuu simba umeiona?Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Acha kuwa na mashaka.Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Ofkoz hakutakuwa na mteremko kwetu Yanga ila tunaiona Simba ikiingia ktk hofu kubwa mno dhidi ya Yanga.Mimi siwashauri Yanga kuamini kwamba hiyo tarehe 8 watapata mteremko. Badala yake nashauri kila timu ijiandae tu vizuri, ili tushuhudie mchezo mzuri. Na mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki.
We simba umeiona wapi ikiwa na hofu?Ofkoz hakutakuwa na mteremko kwetu Yanga ila tunaiona Simba ikiingia ktk hofu kubwa mno dhidi ya Yanga.
Hii game ingekuwa ni ligi, Simba angepambana sana atafute droo.