House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Mara ya mwisho yanga amemfunga simba 2-1, sioni yanga kufanya maajabu makubwaHapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Nasikia VAR ItakuwepoMimi siwashauri Yanga kuamini kwamba hiyo tarehe 8 watapata mteremko. Badala yake nashauri kila timu ijiandae tu vizuri, ili tushuhudie mchezo mzuri. Na mwisho wa siku mshindi apatikane kwa haki.
unaifunga vp yanga hii?em tuelezee sisi makolo tuelewe!!Unataka kusemaje sasa kama SIMBA haitawafunga Yanga? Si ni mpira tu. Utopolo wewe!!
Timu inayengenezwa ila tunacheza mechi za kirafiki na timu za uchochoroni tena kwa siri matokeo yanafichwa kama bangi , mashabiki hatujui hata timu inachezajeMkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Ubgetaja kabisa na idadi ya magoli mtakayofungwa. Au yatakuwa kitarehe kama ilivyokuwa ile yale tarehe tano?Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Ninachokukubali GENTAMYCINE huna unafiki, unanyoosha kwenye ukweliHapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Tunaenda kuwasambaza hamto ungana kamweWacha tujikaze kaze aisee.Hatuna namna.Ila naona Timu itapata Muunganiko soon
Timu itengenezwe imekuwa barabara hiyo? Sisi tunawakanda tu. Mwakani mnawatimua tena wote kama mwaka huu mnatengeneza tena timuMkuu si timu inatengenezwa au? Kwani hata tukifungwa au tukishinda Lengo la timu Kutengenezewa si ipo palepale au? Muda mwingine tuache hizi mambo ni ujinga.
Bado mnajisifu mmewafunga kaiza chiefs.team mbovu.Tunaenda kuwasambaza hamto ungana kamwe
Wewe nae usiwashtue bwana Simba mnayo timu hatari ya vijana watupu, mazoezi yenu kule misri ni balaa, mnacheza na timu ngumu mno kiufundi kiasi Cha kwamba amtaki muonekane na watu watawaibia mbinu zenu ambazo azijawai kuonekana kwenye bara hili la Afrika🤣🤣🤣🤣🤣Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Na ikishinda je?Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Maaana yake tutakosa simba ya kuchea nayo.Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Nimeogopa sana sanaa kauli yako!Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
kwamba kuna dalili zinaonyesha zile 5 huenda zikajirudia?Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Timu iliyozidiwa point 6 na timu iliyoshuka daraja nayo ni ya kutamba kua umeufunga uanze kutishia watu? Kaizer ni WagonjwaKama kuna mtu wa Simba hajapata warning walichofanywa Kaizer Chiefs basi yupo kwenye wale waliosemwa na Chines proveb.....
Some people ar not crying until they see a coffin.
😃Jibu gani tena mzee? Tar 8 kukandwa lazima tunakuja kupiga kwenye mshonooo!