GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Bado wanajijenga na Kiufundi Timu inayojengwa inahitaji ama Msimu Mmoja au Miwili kuwa sawa. Acheni kuwa Wabishi Simba SC yetu bado sana japo najua katika Derby lolote laweza kutokea ila haiondoi ukweli kuwa bado Kikosi kinajengwa ili kiwe bora kwa miaka mingi ijayo. Tukiwafunga Yanga SC katika Ngao ya Jamii nitauchukulia huo Ushindi kama wa Ngekewa / Bahati tu ila Uhalisia utabaki ule ule kuwa Timu ( Simba SC ) bado sana ukiilinganisha na Yanga SC ambayo sasa imeshakaa vyema katika Reli.Simba ushawaona?
Wanajenga timu ili iweje?Simba wamesajili kwa ajili ya kujenga timu sio kushindana ya Yanga
Ni kweli sitarajii Simba hii mpya na kocha mpya asiyeijua yanga vizuri kwamba tushinde mechi.Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
Huwa nikikutana na mwana Simba SC mwenye Akili nzuri kama Wewe hivi huwa nafurahi sana kuliko wana Simba SC walio Majuha / Mbumbumbu wengi.Ni kweli sitarajii Simba hii mpya na kocha mpya asiyeijua yanga vizuri kwamba tushinde mechi.
Nasikitika tu msemaji wa Simba ameanza upuuzi wake wa kudanganya watu eti tutamfanya vibaya utopolo tarehe 8.
Mimi ni mpenzi wa Simba lakini staki kuamini huo ujinga wa Ahmedy
Sawa Pep Guadiola ,muda utaongea hizi siasa ndo ziliku zinafanyika miaka yote 3 hiii na tumeambulia fedheha.Timu inatengenezwa ulitaka Simba ucheze na Nani? Madrid. Kumbe kuna watu humu hata hawajui lolote kuhusu soka. Mwalimu ndo kwanza anatengeneza pattern afu ucheze mechi yenye intensity kubwa 😂😂 dah
Yanga imecheza mechi zake zote za kirafiki kwa uwazi kila mmoja kaona, sasa benchi la ufundi la Simba inashindwaje kuijua Yanga?Ni kweli sitarajii Simba hii mpya na kocha mpya asiyeijua yanga vizuri kwamba tushinde mechi.
Nasikitika tu msemaji wa Simba ameanza upuuzi wake wa kudanganya watu eti tutamfanya vibaya utopolo tarehe 8.
Mimi ni mpenzi wa Simba lakini staki kuamini huo ujinga wa Ahmedy
Kiufundi na ubora wa kikosi mpaka safu ya uongozi ninkwel simba wako nyuma sana hilo liko wazi. NakubaliHata ikishinda / tukishinda bado haiondoi Ukweli kuwa Kiufundi Simba SC bado japo najua katika Mpira bahati nayo ipo.
Ili muanze kuwaloga?kikosi cha wachezaji wapya wa simba naombeni