Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Yaani kati ya kipindi Ccm imepoteza mvuto ni kipindi hiki cha Bashiru na Polepole na kijana anaeitwa sijui Heri James
Jpm amepata shida sana ya kuinadi Ccm kwa sababu ya hawa watu.
Walimjaza Jpm ujinga kwamba Ccm ina pendwa. Halafu wao kama watendaji badala ya kuwa wanyenyekevu kwa wananchi waka na kiburi na dharau kwa wananchi.
Ona Jpm anavyo pata shida kuinadi Ccm.. Imembidi awanunue wasanii wote kujaza uwanja, imembidi awatumie wanafunzi huhadaa ulimwengu kwamba nae ana wafuasi.
Tumeshuhudia hadi mawaziri wanaingia madarasani kuwafundisha wapiga kura wa kuchonga jinsi ya kumpigia Magu kura.
Wanasahau kwamba hao watoto pia kuna familia za upinzani ambazo vijana wao wanajua ukombozi uko Chadema.
Naamini baada ya huyo Wziri kutoka darasani walimzomea maana hakuna kijana atakae ipigia kura Ccm.. Jpm unatakiwa ukiingia ofisini iwe Magogoni au Lumumba ondoka na vichwa vya Bashiru, Polepole na Heri James kuiokoa Ccm.. Usisahau pia biongozi wa tume na Igp.. Hawa wamekunyima kura kwa unyanyasaji wa raia.
 
Jibu laki ni hili, katika kipindi cha miaka 5:
1) Wakulima wana hali mbaya ya kimaisha
2) Wavuvi wana hali mbaya ya kimaisha
3) Wafanyabiashara wana hali mbaya ya kimaisha
4) Zaidi ya wafanyakazi elfu 10 wa vyeti feki waliotolewa kazini na familia zao
5) Kwa miaka mitano wafanyakazi hawajawahi kupata nyongeza ya mishahara
6) Kwa miaka mitano hakuna ajira mpya kwa waliomaliza masom kutoka ktk vyuo ngazi mbalimbali
7) Makato ya ziada na yasiyozingatia sheria kwa waliokopa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
8) Wafugaji wana hali mbaya ya kimaisha

Na mengine na kero nyingi yinginezo, hivyo usijidanganye. Watu wengi hawana furaha hivyo lazima wapige kura za hasira
 
Safi, kuna kura nyingi sana za HASIRA uchaguzi huu. Leo ni Jpili ya mwisho kwa chama cha kitapeli, uongo, hila na wachumia tumbo.
 
Polepole na Bashiru wote wamepotea katika ulingo wa siasa wamebaki kwenye mipango ya uovu wa kuiba kura.

Inashangaza sana katibu na mwenezi wake kutoonekana kwenye media hasa dk hizi za lala salama.

Jamaa wamekiangusha chama,hakika kikombe watakachopitia baada ya uchaguzi watajutia. Fedha zote wanazokula kipindi hiki watazitapika.

Wamemeza ndoano,ngoja mwenyekiti aivute.
 
Embu elezea vizur mkuu, una point ya kinajimu nataka niidake hapo
 


Na wazazi wako bado wanajisifia wana mtoto

Tutaiibua hii thread na usije hamisha magoli
 
Ukiona Kenge anatoka dam ujue anakalibia kufa. Naona CDM mnavyo haha kwenye mitandao kupeana moto kama vile mgonjwa aliekuwa mahututi mnajifariji
 
Hata hizo haramu zitakuwa na madhara kwa Ccm
Kweli...Hili la wapambe Wao wakiwemo viongozi wa dini kuhubiri amani fake(manake amani ya kweli ni Ile inayotenda haki),inaonyesha jinsi Gani njia haramu zina madhara.Lakini hakuna namna manake hiyo ndio turufu yao ya mwisho kama wanataka kusalia madarakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…