Uchaguzi 2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

Usihofu Mkuu, tutarudia uchaguzi kwenye hayo majimbo yote yaliyopitisha CCM kwa njia za HARAMU.
 
Bado hajatokea wa kuiangusha CCM.
Labda mabeberu walete silaha wachukue madini Tanzania iwe kama Libya
Huyu jamaa alikua waziri katika serikali dhalim ya Libya Sasa ni mjasiria Mali kule misri
I can't wait to see Magufuli anauza mitumba kule Kenya
 
Attachments

  • IMG_20201025_085656.jpg
    129.9 KB · Views: 2
Sawa mkuu
Labda mabeberu walete silaha wachukue madini Tanzania iwe kama Libya
Huyu jamaa alikua waziri katika serikali dhalim ya Libya Sasa ni mjasiria Mali kule misri
I can't wait to see Magufuli anauza mitumba kule Kenya
 
Kwa sababu chama chako cha kijani kilikuwepo kabla ya 1995 na hakikuwa na upinzani wowote kufanya chochote ilichokuwa inakitaka.
Kumbe sasa mbona hamuishi kuitaja miaka 60?
 
Nimetafakari sana huu mchezo unavokwenda, na nimejiridhisha bila shaka, mpaka sasa, CCM imepoteza pambano.

Mada zingine mtu unakimbilia ukidhani ni utafiti au uchambuzi kumbe mahaba binafsi ya mtu!!
 
Wapinzani baada ya kuanzishwa kwenu mmepata maendeleo gani,ofisi zenu tu vichekesho
Kwa sababu chama chako cha kijani kilikuwepo kabla ya 1995 na hakikuwa na upinzani wowote kufanya chochote ilichokuwa inakitaka.
 
Mkuu unakurupuka sana mmeshasema tumeccm na polisiccm. Sasa kama tume ni ya ccm hao wasingekua wabunge hata kabla ya magufuli
Kwa taarifa yako hao wote walitangazwa kwa watu kuhatarisha usalama wao.
 
Oct 29 ndo utajua hujui na hz pumba ulizondika hapa mkuu
 
Ushawahi kuwaona haonwanàchama au unadanganywa ana akila Pole pole tu! Tumaia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…