Bado tupo utumwani? kwanini tunasita kubadili jina la jiji kubwa zaidi Afrika mashariki

Kama ni kuuza ardhi hata chief Mangungo alimuuzia Carl Peters, jielimishe
Kwa hiyo umekubali Sultani hakuchukua ardhi kimabavu?

Chief Mangungo hata hakujua lugha ya aliosaini mkataba nao kina Carl Peters. Hakujua utamaduni wao wa Kijerumani. Hakujua kusoma wala kuandika lugha yao ya Kijerumani.

Jumbe Tambaza aliongea Kiswahili na Kiarabu sawa na Sultani, wote Jumbe na Sultani walikuwa Waislamu, Jumbe Tambaza alisoma Uislamu na kujua kusoma na kuandika Kiarabu.

You are comparing apples to oranges.
 
Kwani Dar ni jina la Sultani?
 
Na wewe mbona bado unajiita round kick. Hilo si jina la utumwani?😎
 
Naunga mkono hoja, ila hapa tegemea mpambano mkali sana kutoka kwa Mohamed Said FaizaFoxy Malaria 2
 
Jumbe Tambaza hakuwa na haki ya kuuza ardhi kwa masultani waliotesa wenzake.

yani upo bize kuwatetea masultan wakati babu yako angekamatwa kama mtumwa angeng'olewa viungo vya uzazi, kucharazwa viboko mashambani, n.k.
 
Bandari salama hiyo..
 
Vipi na kiswahili?
Tuondoe na maneno yote yaliyoletwa na Hao masultan?

Pathetic
 
Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,
Harare zamani ilikuwa Fort Saalisbury
Instanbul zamani ilikuwa Constantinople
Gold Coast ilibadilishwa kuwa Ghana
Toronto ilikuwa York zamani
 
wanyeji wao wapa Dar es Salaam wanashida na hilo jina na wala huyo Sultan, sasa kama wewe unateska na vyo rudi mkoani mkuu tuachie wenyewe.
 
Jumbe Tambaza hakuwa na haki ya kuuza ardhi kwa masultani waliotesa wenzake.

yani upo bize kuwatetea masultan wakati babu yako angekamatwa kama mtumwa angeng'olewa viungo vya uzazi, kucharazwa viboko mashambani, n.k.
Hata huelewi hoja yangu.

Kwa sababu you are using a one track mindset.

Kwani siwezi kuwa simtetei Sultani halafu pia nikasema Sultani hakuchukua mji kwa nguvu?

Why the false dichotomy logical fallacy?
 
Bombay ilibadilishwa kuwa Mumbai,
Instanbul zamani ilikuwa Constantinople
Gold Coast ilibadilishwa kuwa Ghana
Toronto ilikuwa York zamani
This logical fallacy is called the problem of induction.

Kwa kuwa Bombay imebadili jina si lazima na sisi tubadili.

Bombay ilikuwa wrong pronounciation of Mumbai. Wana haki ya kubadili jina.

Mji wa Dar es salaam, kama mji, umeanzishwa na Sultani. This is a historical fact. Hata ukibadikisha jina hiyo historical fact huifuti.

What's next? Mtataka kuondoa maneno yote yenye mzizi wa Kiarabu kwenye Kiswahili?
 
Hata huelewi hoja yangu.

Kwa sababu you are using a one track mindset.

Kwani siwezi kuwa simtetei Sultani halafu pia nikasema Sultani hakuchukua mji kwa nguvu?

Why the false dichotomy logical fallacy?
Hapa hatuwezi kuelewana, you are very narrow minded you are thinking subjectively

Seems you would be ok if Sultan culstrated yo grandpa for the sake of slave trade profits
 
Watanzania wengi wanapenda sana kuvalia njuga non-issues wakati wana issues nyingi sana za msingi hawataki hata kuziongelea.

Ndiyo maana wakahamisha mji mkuu bila sababu, kutatua tatizo ambalo halikuwapo, kwa gharama kubwa, wakati hawana hata bajeti ya kutosha kutatua matatizo mengi ya msingi yaliyokuwapo.

Ukibadilisha jina la mji unatatua tatizo gani la muhimu la watu sasa hivi?

Sanasana utaongeza gharama za kuchapisha jina jipya tu na ku confuse watu.
 
sehemu gani official inapaita hivyo
Upanga pale kuna middle school inaitwa Mzizima, ukienda kariakoo pia kuna mtaa wa Mzizima na maeneo yake unapakata na Mtaa wa Mafia

Hii ni Mitaa ya Likoma, Kibambawe, Twiga, Congo, Mafia na maeneo ya Mzizima katika kata ya JANGWANI katika Halmashauri ya Jiji la Ilala imegeuzwa kuwa maeneo ya Kupakia na Kupakua mizigo inayosafirishwa kwenda Mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…