Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Wahaya kwa mbwembwe. Kulikuwa na ulazima kweli wa kuorodhesha vitu vyote hivi? Habari yenyewe imekaa kama vile tangazo fulani la mtu limbukeni limbukeni hivi [emoji16][emoji16][emoji16]

Anyway hongera kwa kupata vitu vyako [emoji706][emoji706][emoji706]
Imekusumbua mkuu? Umekereka?
Hakuna sumu ya panya hapo?

Hivi navyo vya kukusumbua?
 
MKuu za kale au huchukuliwa na mamlaka ndugu?
Yangu sikuirudisha mkuu
Mya hii hapa
IMG-20231117-WA0004.jpg
 
Hello wakuu sana;
Siku zilizopita nilipoteza bag langu dogo lenye vitu vichache lakini muhimu.

Ndani ya bag kulikuwa na ;
-Suruali 3 za jeans
-Raba za nike pair 2
-shati 2 na nk
-kadi 4 za bank tofauti
-kadi ya gari
-leseni ya udereva
-kadi ya gari
-××pasi ya kusafiria
-cheki ya bank nk.
- kitambulisho cha nida

Mazingira ya kupoteza yalikuwa ni hotelini, hii ni kutokana nilikuwa na mizigo mingi kiasi na nililazimika kuondoka kwa dharura kwani niliitwa kikazi mkoa tofauti.

Baada ya kusafiri na kufika mkoa mwingine, nilihitaji kutoa pesa ATM ndipo nikagundua kuwa sina kadi hata moja ndipo nikakumbuka xilikuwa kwenye bag fogo.

Nilijitahidi kuwasiliana na hotel nilikolala mkoani na kijana mmoja alikiri aliliona bag hilo ndani ya chumba kabatini.

Tuliongea sanq kiasi cha kupanga namna ya kunitunzia kwani ningemtuma mshikaji akqnichukulie anitumie.

Bahati mbaya kabla niliyetarajia akachukue alibanwa na majukumu.

Baada ya siku 3 alifika pale lakini mhusika alomchenga na hatimaye kijanq alipotea ..kumbe aliachishwa kazi kwa makosa ya kazini.

Alichofanya alichambua vinavyomfaa na akachukua hadi bag lakini vitu vingine akavitupia kwenye pipa ndani ya stoo ambapo ilikuwa vigumu mtu mwingine kuviona.

Baada ya kufuatilia sana kwa njia ya simu ilionekana huenda vitu vyote amronfoka navyo na alibadili namba ya simu.

Kosa nililofanya ilikuwa ni kumwamini mtu...ambaye nilipokuwa pale alikula hadi tips zangu na tulijenga ukaribu.

Muda ukapita nililazimika kutoa taarifa ya upotevu.

Ngoma ilikuja kwenye pasi ya kusafiria, awali nilipobadili kutoka pasi ya awali ya kitabu cha kawaida kuja pasi ya kidigitali nilitumia 150k.

Sasa baada ya upotevu nilitakiwa nitoe taarifa gazetini na linalosomwa kila siku na adq yake ni 500k.

Mungu sio FaizaFoxy walq rafiki yangu malatia 2, akaajiriwa meneja mpya katika hotel hiyo.

Huyu meneja mpya wakati anakagua kila mahali katika maeneo tofauti, ndipo aliingia stoo na kukagua kila kitu na ndipo ndani ya pipa akakutana na vitu tajwa hspo juu kasoro
Bag
Nguo na cheque ya bank.

Baada ya kuona hivyo vitu ilikuwa ni ngumu kutambua ni vya nani kwani hapakuwa na mawasiliano yoyote kwani kwenye kava la meisho la pasi ya kusafiria ambapo huwa kuna sehemu ya kuandika mawasiliano sikuandika chochote.

Ndipo katika kukagua vitu alikutana na business card yenye majina yanayolingana na vitambulisho na akana mawasiliano.

Juzi jioni nikiwa nimetulia zangu nilipigiwa simu na kupewa taarifa kuwa kuna vitu vyangu vilionekana na nikaulizwa endapo ninavitambua.

Ilikuwa ni furaha iloyochanganyika na mshituko.

Nafurahi nilifanya jitihada ya kuvifuata hatimaye leo nimevichukua.

Huyu ndugu alikataa katukatu shukrani zangu...lakini amenipa deni kubwa sana nafikiri Mungu akinisaidia nitafanya kitu kwa ajili yake....

Watu wema bado wapoView attachment 2816919
Mwaka 2016 niliipoteza wallet yangu pale karume machinga complex ikiwa na pesa na vitambulisho kama vyote

Kwenye wallet kulikuwa na line
Kumbe alieokota akaweka line kwenye simu yake akaangalia namba zilizomo kwenye line akawa anajaribu kupiga

Hatimae nkakuta demu wangu ananipigia simu jioni anauliza vipi? Wallet yako iko wapi?

Kuna mama kaiokota kanipigia nmeenda kuichukua ninayo mimi, na nmempa elfu hamsini kaikataa, kwahyo kila kitu nnacho mm
 
Wahaya kwa mbwembwe. Kulikuwa na ulazima kweli wa kuorodhesha vitu vyote hivi? Habari yenyewe imekaa kama vile tangazo fulani la mtu limbukeni limbukeni hivi asiyejitambua! [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji664][emoji664][emoji664] Sasa baada ya upotevu nilitakiwa nitoe taarifa gazetini na linalosomwa kila siku na ada yake ni 500k (Siyo 50K kweli?)

Anyway hongera kwa kupata vitu vyako bosi [emoji16][emoji16][emoji16]
Sikiliza mkuu:
-50k ilikuwa ni bei ya pasi miaka 4viliyopita na ilikuwa kitabu cha kawaida
-sasa maombi mapya bri ni 150k.
- ukipoteza mara ya kwanza utalipia 500 000/=
-Ukipoteza mara ya pili utalipia 1,000, 000/=

Pasi ni haki yako usiwe nyuma hivyo
 
Mwaka 2016 niliipoteza wallet yangu pale karume machinga complex ikiwa na pesa na vitambulisho kama vyote

Kwenye wallet kulikuwa na line
Kumbe alieokota akaweka line kwenye simu yake akaangalia namba zilizomo kwenye line akawa anajaribu kupiga

Hatimae nkakuta demu wangu ananipigia simu jioni anauliza vipi? Wallet yako iko wapi?

Kuna mama kaiokota kanipigia nmeenda kuichukua ninayo mimi, na nmempa elfu hamsini kaikataa, kwahyo kila kitu nnacho mm
Safi sana
 
Wahaya kwa mbwembwe. Kulikuwa na ulazima kweli wa kuorodhesha vitu vyote hivi? Habari yenyewe imekaa kama vile tangazo fulani la mtu limbukeni limbukeni hivi asiyejitambua! [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji664][emoji664][emoji664] Sasa baada ya upotevu nilitakiwa nitoe taarifa gazetini na linalosomwa kila siku na ada yake ni 500k (Siyo 50K kweli?)

Anyway hongera kwa kupata vitu vyako bosi [emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂😂🙌 Jf sijui mkoje
 
Us
Kulikoni kutupiga changa la macho ndugu:

"Namba za leseni huwa hazibadiliki."

Expired inaishia "8" valid ina ishia '4"

Watuona manyani ndugu.
USitake nikuambie kila kitu, angalia hayo madaraja kama hayafanani
 
Watu wema bado wapo wengi sana na tunakutana nao kila siku, Mimi kwenye harakati zangu nyingi kila napopaona pagumu kwangu hua nasaidiwa na stranger either free au kwa gaharama ndogo ni vle tu story za watu waovu zinaenda sana viral
 
Mimi nimeona kawaida sana. Labda tu kwa wewe ksbb ni vitu vyako na vya muhimu ndio umeona ajabu. Lakini amini mtu yoyote angeweza kukurudishia hivyo vitu ksbb havina kazi yoyote kwa yoyote zaidi yako.

Pia yoyote ambaye angeviokota lazima angefanya juhudi kukutafuta ksbb kwa vyovyote atajua vilivyo na umuhimu kwa mhusika.
Zawadi kama ulivyoahidi kwa aliekuokotea ni sawa. Japo ni kawaida sana. Zingekuwemo hela za kutosha ndio ungejua kuna waaminifu kweli wapo.

NB:Kuna kesi inaendelea huko Mtwara ya yule marehemu mfanyabiashara wa madini,fuatilia walioshitakiwa kwa hiyo kesi ndipo utakapojua kwa sasa kwenye hela waaminifu hawapo
 
Back
Top Bottom