Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Bongo njaaa/umaskini, nyege na wivu Bado ni maadui wakubwa sana hao wanaom-attack Glenn ukipata fursa ya kuwaona utakua ni mtu kahitimu geology mzumbe 2009 afu mpaka saiv hana ramani ni dalali Buguruni ila kwa sababu ya fake ID bas tutakoma
😂😂Yani mhitimu wa geology awe dalali buguruni?nakataa
Buguruni wamejaa darasa la 7
 
Hongera Mkuu kwa kuja kunishukuru JF.

Siku nyingine acha hata Million 1 plae ofisini kwangu.

Nilikataa kwa sababu dau lako lilikuwa dogo sana. Ningeonekana mwenye njaa.

Na pengine thread yako leo ingekuwa 'Meneja Njaa abania vitu vya mteja. Adai fidia kuvirudisha'.
 
Mkuu namba ni lazima zifanane hata kama madaraja hayafanani
IMG-20231117-WA0006.jpg

Nimekuwekea zote, angalia namba za leseni
 
Hongera Mkuu kwa kuja kunishukuru JF.

Siku nyingine acha hata Million 1 plae ofisini kwangu.

Nilikataa kwa sababu dau lako lilikuwa dogo sana. Ningeonekana mwenye njaa.

Na pengine thread yako leo ingekuwa 'Meneja Njaa abania vitu vya mteja. Adai fidia kuvirudisha'.
Ulikataa katu katu.
Lakini nikakuunganisha kazi kwingine mkuu😂
 
Pole na hongera kwa kupata vitu vyako bro
Watu wanachukulia poa, ila vitu muhimu km hivo vikipotea kuanza kufatilia upya ni process ndefu sana inayopoteza muda.
 
Back
Top Bottom