Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Hata mimi vitambulisho ningekurejeshea ila ningekuta mifweza, wee hapo ni hallelujah tutaonana.. 😂🤣

Siku moja nipo muhimbili, pembeni yangu kakaa mzee hivi, alipoinuka na kuondoka akasahau simu, vijana wanaita, tambo, mbala, la kwenda.. Shetani akaniambia vipi mwanangu makaveli hapa tunafanyaje, shetani nikampiga kerebu moja nzito saana, nikamwambia kwa hapa hunipati(joke 😂🤣)
Uhalisia niliinuka na kumkimbilia yule mzee nikamkuta anakaribia getini maana toka ainuke mpaka nimeiona simu muda ulikuwa umesogea kidogo, nikampatia mali yake akanishukuru nikarudi kwenye harakati zangu.
 
Mkuu kitu cha mtu huwa aikitamani hata kidogo.
Hata pesa sijawahi kufikia point ya kuitamni ambayo sio yangu
 
Namba ya leseni ni kama ya luku au bill ya maji hazibadiliki hizo mkuu .. jiridhishe leseni 2 hizo majina yatakuwa tofauti
Mkuu utakuwa na shida binafsi.

Nimekuwekea leseni zote mpya na ya kale.

Nimekuonyesha namba za leseni za mwanzo na mwisho..
Zimeanza na 400...nikaishia na..46 xote.

Angalia vizuri
 
Hata mimi vitambulisho ningekurejeshea ila ningekuta mifweza, wee hapo ni hallelujah tutaonana.. 😂🤣

Siku moja nipo muhimbili, pembeni yangu kakaa mzee hivi, alipoinuka na kuondoka akasahau simu, vijana wanaita, tambo, mbala, la kwenda.. Shetani akaniambia vipi mwanangu makaveli hapa tunafanyaje, shetani nikampiga kerebu moja nzito saana, nikamwambia kwa hapa hunipati(joke 😂🤣)
Uhalisia niliinuka na kumkimbilia yule mzee nikamkuta anakaribia getini maana toka ainuke mpaka nimeiona simu muda ulikuwa umesogea kidogo, nikampatia mali yake akanishukuru nikarudi kwenye harakati zangu.
Uongo 😂😂😂
 
Mkuu kitu cha mtu huwa aikitamani hata kidogo.
Hata pesa sijawahi kufikia point ya kuitamni ambayo sio yangu
Na si jambo zuri, ukitaka kufanya jambo jiweke kwenye nafasi ya mtendewa utaona ubaya au uzuri wa jambo hilo.
 
Back
Top Bottom