Bado watu wema wapo-kuna mtu amenionyesha wema sana

Imekusumbua mkuu? Umekereka?
Hakuna sumu ya panya hapo?

Hivi navyo vya kukusumbua?
 
Mwaka 2016 niliipoteza wallet yangu pale karume machinga complex ikiwa na pesa na vitambulisho kama vyote

Kwenye wallet kulikuwa na line
Kumbe alieokota akaweka line kwenye simu yake akaangalia namba zilizomo kwenye line akawa anajaribu kupiga

Hatimae nkakuta demu wangu ananipigia simu jioni anauliza vipi? Wallet yako iko wapi?

Kuna mama kaiokota kanipigia nmeenda kuichukua ninayo mimi, na nmempa elfu hamsini kaikataa, kwahyo kila kitu nnacho mm
 
Sikiliza mkuu:
-50k ilikuwa ni bei ya pasi miaka 4viliyopita na ilikuwa kitabu cha kawaida
-sasa maombi mapya bri ni 150k.
- ukipoteza mara ya kwanza utalipia 500 000/=
-Ukipoteza mara ya pili utalipia 1,000, 000/=

Pasi ni haki yako usiwe nyuma hivyo
 
Safi sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ Jf sijui mkoje
 
Us
Kulikoni kutupiga changa la macho ndugu:

"Namba za leseni huwa hazibadiliki."

Expired inaishia "8" valid ina ishia '4"

Watuona manyani ndugu.
USitake nikuambie kila kitu, angalia hayo madaraja kama hayafanani
 
Watu wema bado wapo wengi sana na tunakutana nao kila siku, Mimi kwenye harakati zangu nyingi kila napopaona pagumu kwangu hua nasaidiwa na stranger either free au kwa gaharama ndogo ni vle tu story za watu waovu zinaenda sana viral
 
Mimi nimeona kawaida sana. Labda tu kwa wewe ksbb ni vitu vyako na vya muhimu ndio umeona ajabu. Lakini amini mtu yoyote angeweza kukurudishia hivyo vitu ksbb havina kazi yoyote kwa yoyote zaidi yako.

Pia yoyote ambaye angeviokota lazima angefanya juhudi kukutafuta ksbb kwa vyovyote atajua vilivyo na umuhimu kwa mhusika.
Zawadi kama ulivyoahidi kwa aliekuokotea ni sawa. Japo ni kawaida sana. Zingekuwemo hela za kutosha ndio ungejua kuna waaminifu kweli wapo.

NB:Kuna kesi inaendelea huko Mtwara ya yule marehemu mfanyabiashara wa madini,fuatilia walioshitakiwa kwa hiyo kesi ndipo utakapojua kwa sasa kwenye hela waaminifu hawapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…