Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wenu.

Niliwaonyeni juu ya suala hilo kwa sababu Akili ya Lissu naifahamu vyema sana. Nafahamu ni mtu ambaye hawezi kuongoza chama cha siasa chenye watu na wanachama wa mitizamo tofauti tofauti. Nilijua kwa Mihemuko, lugha chafu ,ubaguzi ,ujuaji, ukurupukaji alionao Lissu pamoja na papara ya mdomo wake uliokosa staha ,adabu ,utulivu na umakini atakigawa na kukisambaratisha chama ndani ya muda mfupi sana.

Nilijua lissu hawezi kuongoza chama kama CHADEMA hata kwa Mwaka mmoja tu. Nilijua atawagawa na kuwavuruga sana wanachama na chama kwa ujumla wake. Nilijua kwa Mihemuko yake na ujinga wake atakikabidhi chama na kukiongoza kiharakati kwa kushirikiana na wanaharakati wa mitandaoni waliokosa muelekeo na kupoteza matumaini.

Nilijua kwa akili ya lissu hawezi kukivusha chama wala kukipa uhai na ustawi. Nilijua lissu hawezi kuvumilia maoni tofauti na mtizamo wake wala kuwavumilia wale wenye kufikiria tofauti na kile anachokifikiria yeye .

Sasa baada ya hiki kilichotokea leo nimepata taarifa nyeti na za siri kuwa Bado anguko la CHADEMA litaendelea kuitetemesha CHADEMA. Ambapo Sekretarieti itaendelea kubomoka taratibu kwa viongozi wake kujiondoa . Kwa sasa wapo tu kama Vimvuli au mapambo na wataondoka kwa Muda sahihi..

Mapigo zaidi yataendelea kuikumba CHADEMA na wengi wataendelea kuondoka ndani ya CHADEMA awamu kwa awamu. Mapigo yataendelea mpaka chama kitabakia kama pagala tu.

Mlipuuza ushauri na maneno yangu na sasa mnavuna matokeo ya ujinga ,Mihemuko na ukurupukaji wenu.

Na Badoooo. Mpaka mbubujikwe na machozi ya huzuni na majuto.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Wala usijali, chadema is there to stay! Waache waje mlipo, Simba yupo mstari wa mbele hakuna kitakachoharibika chawa wa uvisisiemu unayejidai una uchungu sana na Chadema! Endelea kuota tu hamna kodi unalipa wala ushuru...

By the way umeacha kumpromote kafuliza halipi tena posho nzuri? Au ushapata promotion?
 
Hata wakitoka wote atabaki Lisu kama mgombea binafsi... Kiliko uende safari 1 na mamluki bora uende peke yako
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wenu.

Niliwaonyeni juu ya suala hilo kwa sababu Akili ya Lissu naifahamu vyema sana. Nafahamu ni mtu ambaye hawezi kuongoza chama cha siasa chenye watu na wanachama wa mitizamo tofauti tofauti. Nilijua kwa Mihemuko, lugha chafu ,ubaguzi ,ujuaji, ukurupukaji alionao Lissu pamoja na papara ya mdomo wake uliokosa staha ,adabu ,utulivu na umakini atakigawa na kukisambaratisha chama ndani ya muda mfupi sana.

Nilijua lissu hawezi kuongoza chama kama CHADEMA hata kwa Mwaka mmoja tu. Nilijua atawagawa na kuwavuruga sana wanachama na chama kwa ujumla wake. Nilijua kwa Mihemuko yake na ujinga wake atakikabidhi chama na kukiongoza kiharakati kwa kushirikiana na wanaharakati wa mitandaoni waliokosa muelekeo na kupoteza matumaini.

Nilijua kwa akili ya lissu hawezi kukivusha chama wala kukipa uhai na ustawi. Nilijua lissu hawezi kuvumilia maoni tofauti na mtizamo wake wala kuwavumilia wale wenye kufikiria tofauti na kile anachokifikiria yeye .

Sasa baada ya hiki kilichotokea leo nimepata taarifa nyeti na za siri kuwa Bado anguko la CHADEMA litaendelea kuitetemesha CHADEMA. Ambapo Sekretarieti itaendelea kubomoka taratibu kwa viongozi wake kujiondoa . Kwa sasa wapo tu kama Vimvuli na wataondoka kwa Muda sahani.

Mapigo zaidi yataendelea kuikumba CHADEMA na wengi wataendelea kuondoka ndani ya CHADEMA awamu kwa awamu. Mapigo yataendelea mpaka chama kitabakia kama pagala tu.

Mlipuuza ushauri na maneno yangu na sasa mnavuna matokeo ya ujinga ,Mihemuko na ukurupukaji wenu.

Na Badoooo. Mpaka mbubujikwe na machozi ya huzuni na majuto.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Pamoja na nyuzi zako kua heavy ila bado mama akuoni kwenye teuzi hata za kuvua samaki ili upeleke kwake pale magogoni.
 
Ni kweli usemayo. Lakini wazito zaidi wataondoka CCM pia. Mwaka huu sio mwepesi kihivyo!
 
Wakutoka hapo kwako bado wanapiga jeramba,subiri muda ufike usije zimia tu.
 
Hivi kesho tukiamka na kuona vichwa vya habari kama hiki, "CCM YAMEGUKA KWA KUONDOKA KWA Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah , UCD , ChoiceVariable , Magonjwa Mtambuka , kuna mtu atashituka kweli!!??
Ndio hao unaowahororojokea hapa ilivyo sasa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wenu.

Niliwaonyeni juu ya suala hilo kwa sababu Akili ya Lissu naifahamu vyema sana. Nafahamu ni mtu ambaye hawezi kuongoza chama cha siasa chenye watu na wanachama wa mitizamo tofauti tofauti. Nilijua kwa Mihemuko, lugha chafu ,ubaguzi ,ujuaji, ukurupukaji alionao Lissu pamoja na papara ya mdomo wake uliokosa staha ,adabu ,utulivu na umakini atakigawa na kukisambaratisha chama ndani ya muda mfupi sana.

Nilijua lissu hawezi kuongoza chama kama CHADEMA hata kwa Mwaka mmoja tu. Nilijua atawagawa na kuwavuruga sana wanachama na chama kwa ujumla wake. Nilijua kwa Mihemuko yake na ujinga wake atakikabidhi chama na kukiongoza kiharakati kwa kushirikiana na wanaharakati wa mitandaoni waliokosa muelekeo na kupoteza matumaini.

Nilijua kwa akili ya lissu hawezi kukivusha chama wala kukipa uhai na ustawi. Nilijua lissu hawezi kuvumilia maoni tofauti na mtizamo wake wala kuwavumilia wale wenye kufikiria tofauti na kile anachokifikiria yeye .

Sasa baada ya hiki kilichotokea leo nimepata taarifa nyeti na za siri kuwa Bado anguko la CHADEMA litaendelea kuitetemesha CHADEMA. Ambapo Sekretarieti itaendelea kubomoka taratibu kwa viongozi wake kujiondoa . Kwa sasa wapo tu kama Vimvuli au mapambo na wataondoka kwa Muda sahihi..

Mapigo zaidi yataendelea kuikumba CHADEMA na wengi wataendelea kuondoka ndani ya CHADEMA awamu kwa awamu. Mapigo yataendelea mpaka chama kitabakia kama pagala tu.

Mlipuuza ushauri na maneno yangu na sasa mnavuna matokeo ya ujinga ,Mihemuko na ukurupukaji wenu.

Na Badoooo. Mpaka mbubujikwe na machozi ya huzuni na majuto.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wewe nawe takataka, CCM mmesimama kwa msaada wa dola, kesho yenu hamijui kwa vile kuna takataka kama wewe one who can not foresee the future
 
Wala usiniletee mahasira yako hapa . Mimi siyo niliyewachagulia huyo jamaa yenu Mkurupukaji na mwenye mihemko. Pambaneni na hali yenu.
 
Mimi nachokiona ni hiki.
Mama anaurudisha uchaguzi wa haki na viongozi wataochaguliwa na wananchi watashika madaraka hii ni sababu Mama anauhakika kwenye kiti chake cha URais hakuna wakumtetemesha sababu wanachama wa wapinzani wengi hasa Chadema hawajajiandikisha kupiga kura.

Asilimia kubwa ya waliojiandikisha kupiga kura ni wadau wa SSH. Takuwa wamwisho kuamin kama kuna atamtetemesha Mama kwenye kiti cha URais.
Watu wengi wanatamani ubunge wa upinzani urejee madarakani hii ni fursa kwa mwanasiasa kurejea bungeni msimu huu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wenu.

Niliwaonyeni juu ya suala hilo kwa sababu Akili ya Lissu naifahamu vyema sana. Nafahamu ni mtu ambaye hawezi kuongoza chama cha siasa chenye watu na wanachama wa mitizamo tofauti tofauti. Nilijua kwa Mihemuko, lugha chafu ,ubaguzi ,ujuaji, ukurupukaji alionao Lissu pamoja na papara ya mdomo wake uliokosa staha ,adabu ,utulivu na umakini atakigawa na kukisambaratisha chama ndani ya muda mfupi sana.

Nilijua lissu hawezi kuongoza chama kama CHADEMA hata kwa Mwaka mmoja tu. Nilijua atawagawa na kuwavuruga sana wanachama na chama kwa ujumla wake. Nilijua kwa Mihemuko yake na ujinga wake atakikabidhi chama na kukiongoza kiharakati kwa kushirikiana na wanaharakati wa mitandaoni waliokosa muelekeo na kupoteza matumaini.

Nilijua kwa akili ya lissu hawezi kukivusha chama wala kukipa uhai na ustawi. Nilijua lissu hawezi kuvumilia maoni tofauti na mtizamo wake wala kuwavumilia wale wenye kufikiria tofauti na kile anachokifikiria yeye .

Sasa baada ya hiki kilichotokea leo nimepata taarifa nyeti na za siri kuwa Bado anguko la CHADEMA litaendelea kuitetemesha CHADEMA. Ambapo Sekretarieti itaendelea kubomoka taratibu kwa viongozi wake kujiondoa . Kwa sasa wapo tu kama Vimvuli au mapambo na wataondoka kwa Muda sahihi..

Mapigo zaidi yataendelea kuikumba CHADEMA na wengi wataendelea kuondoka ndani ya CHADEMA awamu kwa awamu. Mapigo yataendelea mpaka chama kitabakia kama pagala tu.

Mlipuuza ushauri na maneno yangu na sasa mnavuna matokeo ya ujinga ,Mihemuko na ukurupukaji wenu.

Na Badoooo. Mpaka mbubujikwe na machozi ya huzuni na majuto.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
wala usijali we endelea kuona mbali sisi tupo na chadema mpaka mwisho
 
Mimi nachokiona ni hiki.
Mama anaurudisha uchaguzi wa haki na viongozi wataochaguliwa na wananchi watashika madaraka hii ni sababu Mama anauhakika kwenye kiti chake cha URais hakuna wakumtetemesha sababu wanachama wa wapinzani wengi hasa Chadema hawajajiandikisha kupiga kura.

Asilimia kubwa ya waliojiandikisha kupiga kura ni wadau wa SSH. Takuwa wamwisho kuamin kama kuna atamtetemesha Mama kwenye kiti cha URais.
Watu wengi wanatamani ubunge wa upinzani urejee madarakani hii ni fursa kwa mwanasiasa kurejea bungeni msimu huu
akirudisha uchaguzi wa haki hapiti ng'o tuko hapa
 
Back
Top Bottom