Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Waondoke wote abaki Lema, Lissu na Heche tu. Mapimbi na wanafiki kama nyinyi aendeleeni kubwabwaja na hizo posho zenu za kuleta propaganda zinaelekea mwisho.
Hoja ni No Reforms No Election
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
 
Kwani wewe unajiona ni mzima kiakili? Si unaona unatoa maneno kama kichaa au mwendawazimu 😄😀
Taahira mkubwa wewe. Wenye CCM yao wako kimyaa wewe mlamba viatu unatujazia server na maujinga yako humu.
 

Attachments

  • 1745473930974~3.png
    1745473930974~3.png
    2 MB · Views: 21
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Mpaka reform zifanyike na zitafanyika tu. Utawala huu ni wa kijinga na wa kipuuzi mnooo. Yaani jitu lilikuwa linasoma Arts likapata division four eti leo lina cheti cha degree ya Telecommunications halafu lipo kwenye ofisi ya Umma linavimba na kutishia watu.

Hivi nyinyi wanaCCM huwa hamuambiani ukweli huko? Mambo mnayofanya ni zaidi ya utawala wa kikoloni halafu nchi ni yetu sote.

Uchaguzi wa serikali za mitaa mlihujumu sasa hivi mtaani wadogo wanaokusanya hela ya takataka wanakuja saa 12 asbh na vitisho akipewa hela unamkuta kwa Mangi anakunywa Pepsi na risti hajakupa.

Anapotokea mzalendo kama Tundu Lissu kutaka Reforms ili viongozi wawe wanatokana na maamuzi ya Wananchi, nyinyi mnakejeli na kuleta nyuzi za kijinga jinga na upuuzi mwingi.

Hivi nyinyi wana CCM mbona mnawafanya watanzania kama wajinga wasiojitambua?

Punguza mahaba ya kinafiki simama kwenye ukweli maisha haya ni ya kupita tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi nimejaliwa macho ya Kuona Mbali sana kabla ya jambo kutokea. Na wakati mwingine hutoa tahadhali Kwa muhusika au wahusika ili wachukue hatua. Niliwatahadhalisha sana CHADEMA,niliwasihi sana wana CHADEMA kuwa msithubutu hata siku moja wala kurogwa mkamchagua Lissu kuwa Mwenyekiti wenu.

Niliwaonyeni juu ya suala hilo kwa sababu Akili ya Lissu naifahamu vyema sana. Nafahamu ni mtu ambaye hawezi kuongoza chama cha siasa chenye watu na wanachama wa mitizamo tofauti tofauti. Nilijua kwa Mihemuko, lugha chafu ,ubaguzi ,ujuaji, ukurupukaji alionao Lissu pamoja na papara ya mdomo wake uliokosa staha ,adabu ,utulivu na umakini atakigawa na kukisambaratisha chama ndani ya muda mfupi sana.

Nilijua lissu hawezi kuongoza chama kama CHADEMA hata kwa Mwaka mmoja tu. Nilijua atawagawa na kuwavuruga sana wanachama na chama kwa ujumla wake. Nilijua kwa Mihemuko yake na ujinga wake atakikabidhi chama na kukiongoza kiharakati kwa kushirikiana na wanaharakati wa mitandaoni waliokosa muelekeo na kupoteza matumaini.

Nilijua kwa akili ya lissu hawezi kukivusha chama wala kukipa uhai na ustawi. Nilijua lissu hawezi kuvumilia maoni tofauti na mtizamo wake wala kuwavumilia wale wenye kufikiria tofauti na kile anachokifikiria yeye .

Sasa baada ya hiki kilichotokea leo nimepata taarifa nyeti na za siri kuwa Bado anguko la CHADEMA litaendelea kuitetemesha CHADEMA. Ambapo Sekretarieti itaendelea kubomoka taratibu kwa viongozi wake kujiondoa . Kwa sasa wapo tu kama Vimvuli au mapambo na wataondoka kwa Muda sahihi..

Mapigo zaidi yataendelea kuikumba CHADEMA na wengi wataendelea kuondoka ndani ya CHADEMA awamu kwa awamu. Mapigo yataendelea mpaka chama kitabakia kama pagala tu.

Mlipuuza ushauri na maneno yangu na sasa mnavuna matokeo ya ujinga ,Mihemuko na ukurupukaji wenu.

Na Badoooo. Mpaka mbubujikwe na machozi ya huzuni na majuto.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ikibakia kama pagala wewe Tayari utakuwa skeleton kaburini. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mpaka reform zifanyike na zitafanyika tu. Utawala huu ni wa kijinga na wa kipuuzi mnooo. Yaani jitu lilikuwa linasoma Arts likapata division four eti leo lina cheti cha degree ya Telecommunications halafu lipo kwenye ofisi ya Umma linavimba na kutishia watu.

Hivi nyinyi wanaCCM huwa hamuambiani ukweli huko? Mambo mnayofanya ni zaidi ya utawala wa kikoloni halafu nchi ni yetu sote.

Uchaguzi wa serikali za mitaa mlihujumu sasa hivi mtaani wadogo wanaokusanya hela ya takataka wanakuja saa 12 asbh na vitisho akipewa hela unamkuta kwa Mangi anakunywa Pepsi na risti hajakupa.

Anapotokea mzalendo kama Tundu Lissu kutaka Reforms ili viongozi wawe wanatokana na maamuzi ya Wananchi, nyinyi mnakejeli na kuleta nyuzi za kijinga jinga na upuuzi mwingi.

Hivi nyinyi wana CCM mbona mnawafanya watanzania kama wajinga wasiojitambua?

Punguza mahaba ya kinafiki simama kwenye ukweli maisha haya ni ya kupita tu.
Uchaguzi upo palepale. Utake usitake uchaguzi utafanyika tu na huna ubavu wa kisheria wala kikatiba kuuzuia
 
Kopo na mfuniko mmekutana
Mapimbi nyinyi. 🤣🤣🤣

Kama mnapendwa wekeni uchaguzi uwe huru na wa wazi mwananchi aamue sio kung'ang'ania sehemu ambazo mmechokwa.

Serikali inahitaji kupangwa upya tena kupitia uchaguzi wa huru na haki. Nimejionea mambo mengi ya kipuuzi sana ipo siku nitayasema na Mimi halafu mniteke. Ujinga ni mwingi sana Your days are numbering.
 
watokewote,lisu pekeake amewabudu ,kazunguka kanda mbili tu ,mmechonga kesi ya uhaini na imewashinda.....

Jitulize mziki wa tarehe 19 ,nchi inavyozizima
 
Uchaguzi upo palepale. Utake usitake uchaguzi utafanyika tu na huna ubavu wa kisheria wala kikatiba kuuzuia
Takataka wewe huna hoja, uchaguzi gani wa kipuuzi kama huu, kwann mnalazimisha kupendwa ?

Fanya free and fair election halafu wananchi waamue
 
Mapimbi nyinyi. 🤣🤣🤣

Kama mnapendwa wekeni uchaguzi uwe huru na wa wazi mwananchi aamue sio kung'ang'ania sehemu ambazo mmechokwa.

Serikali inahitaji kupangwa upya tena kupitia uchaguzi wa huru na haki. Nimejionea mambo mengi ya kipuuzi sana ipo siku nitayasema na Mimi halafu mniteke. Ujinga ni mwingi sana Your days are numbering.
Taifa Lina amani na lina imani na Tume ya uchaguzi
 
Nilipojua katika COVID 19 kuna wake zao hao Jamaa nilichoka ghafla.
 
Back
Top Bottom