Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Itokee fulani, amepata ajali, iliyopelekea awe na mtindio wa ubongo na utahira ndani yake, na wataalam wakamwambia abadilishe kichwa chake, ili apate cha mwandishi kama option iliyosalia, hakika binafsi nitamshauri, mgonjwa ni bora abaki na utahira wake.
 
Wewe mbona huwezi kuandika kwa kifupi? Unaandika gazeti refu sana nilijua nilijua, hizo nilijua zako ungeweza kuweka aya mbili tu na ujumbe ungefika.

Namna hii ya uandishi ni ile kudhani unaowafikishia ujumbe wazito kuelewa na wewe ndio mwerevu. Acha hizo Chawa
 
MAMULUKI wote waondoke, na wengine wafukuzwe mara moja. Ili hapo mwishoni mwa mwaka huu chama kitakaposhika dola kisiwe na doa wala mapandikizi na vibaraka.✍️
#NoReformsNoElection
 

CHADEMA haina watu waliokosa akili kama wewe. Kuondoka kwa wasaliti CHADEMA itaimarika zaidi.
 
Waondoke tu Chadema siyo Gereza , ukiona hapakufai unasepa, kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi
 
We mjinga sikiliza Upinzani ni Ideology sio mtu, Huu ujinga sijui mnasomea wapi,
 
heche badala ya kujenga chama anaanza kugombana na mjita mwenzie murilo
 
Wanaondoka ni wanachama au ni wale ambao walitaka vyeo pamoja ubunge wakakosa.CDM bado kitabaki imara tena hivi sasa ndiyo kitakuwa chama makini kuliko vyote kwasababu CDM ni imani siyo vyeo .wanahama chama ni wale ambao wanataka kugombania ubunge na kuna viti ambavyo walihaidiwa watapewa pamoja na vyeo vingine kwahiyo hilo kundi hawako kwa maslai ya wananchi bali kwa maslai ya matumbo yao wao na wake zao .Wanapiga mahesabu wakipewa viti Arubaini na viti maalumu 30 na Ruzuku kama milioni 200 kila mwezi watakuwa wapi hayo ndiyo mahesabu yao.Ahadi kamavhizo ata Mbatia aliwahi kuahidiwa ,utaweza kushinda wakati huna mizizi katika maeneo unayo kwenda kugombania
Najua viongozi wengi watakwenda huko ila CDM bado itasimama kwasababu imeweza kwenda wakati hata walipo susa kufanya kazi za Chama.
 
Ni kweli usemayo. Lakini wazito zaidi wataondoka CCM pia. Mwaka huu sio mwepesi kihivyo!
Wazito kuondoka CCM!
Mtu ataondoka CCM aende chama gani wakati chadema inakufa?!
Chadema inakufa , na vyama vingine vilivyobakia vinahitaji nguvu kubwa sana kuvijenga hadi kupata nguvu ya kupambana na CCM.
Ni taahira peke yake anayeweza kuondoka CCM na kujiunga na upinzani!.
 
dikteta uchwara ameiangamiza chadema kwa makusudi kabisa kuzima ndoto za vijana na wanachadema kwa ujumla.
Inafedhehesha sana na inasikitisha sana aise, dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…