Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Hata kipofu hawezi kwenda CHADEMA
 
dikteta uchwara ameiangamiza chadema kwa makusudi kabisa kuzima ndoto za vijana na wanachadema kwa ujumla.
Inafedhehesha sana na inasikitisha sana aise, dah
Sina huruma na CHADEMA mimi. Tena ikiwezekana kife hata sasa
 
mi nadhani waondoke wote kabisa ili tuanze upya. sasa kulikuwa na faida gani ya kuwa na watu kama hawa waliokuwa wanachumia tumbo huku vijana wetu wakipigwa marundu bure?
 
Mzee
Mzee wa kububujika upooo?
Ulipotea kidogo, binafsi nilikumiss!

How's CCM doing ?
 
mi nadhani waondoke wote kabisa ili tuanze upya. sasa kulikuwa na faida gani ya kuwa na watu kama hawa waliokuwa wanachumia tumbo huku vijana wetu wakipigwa marundu bure?
Itabakia history kama nccr Mageuzi.
 
R I P Thadei Ole Mushi, gaidi alikatiza alikatisha uhai wako lakini malipo ni hapa hapa dunia sasa hivi amekuwa shoga kaolewa na mwarabu kapangiwa apartment Masaki.
Wewe mpumbavu sana vp bwaako Kessy bado anakufumua?

Unadhani kila mtu ni sodoma kama wewe

Na nitakufi... Na ukuni
 
Wewe mpumbavu sana vp bwaako Kessy bado anakufumua?

Unadhani kila mtu ni sodoma kama wewe

Na nitakufi... Na ukuni
Laana ya kumuua Thadei Ole Mushi ndiyo hiyo inakutafùna sikutegemea kama ungeangukia kuwa msenge,aibu gani hii Mchaga kuwa shoga.
 
Uongozi uliokosa maarifa ni anguko
 
Hakuna mzito ndani ya Chadema .

Chama kitaongozwa na watu wenye nia na ari ya kuwaondoa wakoloni weusi wanaotumia bendera za kijani zenye jembe na nyundo.

Siasa za utapeli zimeisha Chadema mwaka huu hivyo hao matapeli wanawafaa maana ndio aina ya siasa za ccm.

Muwapokee kama mlivyompokea Msigwa.
 
Chama kiko imara na kinaonekana ni cha ukweli
 
Waondoke wote abaki Lema, Lissu na Heche tu. Mapimbi na wanafiki kama nyinyi aendeleeni kubwabwaja na hizo posho zenu za kuleta propaganda zinaelekea mwisho.
Hoja ni No Reforms No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…