Bado Wengine Wazito kutoka ndani ya Sekretarieti Ya CHADEMA Wataondoka. CHADEMA itabakia Kama Pagala.

Waondoke wote abaki Lema, Lissu na Heche tu. Mapimbi na wanafiki kama nyinyi aendeleeni kubwabwaja na hizo posho zenu za kuleta propaganda zinaelekea mwisho.
Hoja ni No Reforms No Election
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
 
Uchaguzi upo palepale na utafanyika kama ilivyopangwa
Mpaka reform zifanyike na zitafanyika tu. Utawala huu ni wa kijinga na wa kipuuzi mnooo. Yaani jitu lilikuwa linasoma Arts likapata division four eti leo lina cheti cha degree ya Telecommunications halafu lipo kwenye ofisi ya Umma linavimba na kutishia watu.

Hivi nyinyi wanaCCM huwa hamuambiani ukweli huko? Mambo mnayofanya ni zaidi ya utawala wa kikoloni halafu nchi ni yetu sote.

Uchaguzi wa serikali za mitaa mlihujumu sasa hivi mtaani wadogo wanaokusanya hela ya takataka wanakuja saa 12 asbh na vitisho akipewa hela unamkuta kwa Mangi anakunywa Pepsi na risti hajakupa.

Anapotokea mzalendo kama Tundu Lissu kutaka Reforms ili viongozi wawe wanatokana na maamuzi ya Wananchi, nyinyi mnakejeli na kuleta nyuzi za kijinga jinga na upuuzi mwingi.

Hivi nyinyi wana CCM mbona mnawafanya watanzania kama wajinga wasiojitambua?

Punguza mahaba ya kinafiki simama kwenye ukweli maisha haya ni ya kupita tu.
 
Ikibakia kama pagala wewe Tayari utakuwa skeleton kaburini. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Ikibakia kama pagala wewe Tayari utakuwa skeleton kaburini. Shetani kabisa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Soma post #63 nimemwambia vizuri sana
 
Uchaguzi upo palepale. Utake usitake uchaguzi utafanyika tu na huna ubavu wa kisheria wala kikatiba kuuzuia
 
Kopo na mfuniko mmekutana
Mapimbi nyinyi. 🤣🤣🤣

Kama mnapendwa wekeni uchaguzi uwe huru na wa wazi mwananchi aamue sio kung'ang'ania sehemu ambazo mmechokwa.

Serikali inahitaji kupangwa upya tena kupitia uchaguzi wa huru na haki. Nimejionea mambo mengi ya kipuuzi sana ipo siku nitayasema na Mimi halafu mniteke. Ujinga ni mwingi sana Your days are numbering.
 
watokewote,lisu pekeake amewabudu ,kazunguka kanda mbili tu ,mmechonga kesi ya uhaini na imewashinda.....

Jitulize mziki wa tarehe 19 ,nchi inavyozizima
 
Uchaguzi upo palepale. Utake usitake uchaguzi utafanyika tu na huna ubavu wa kisheria wala kikatiba kuuzuia
Takataka wewe huna hoja, uchaguzi gani wa kipuuzi kama huu, kwann mnalazimisha kupendwa ?

Fanya free and fair election halafu wananchi waamue
 
Taifa Lina amani na lina imani na Tume ya uchaguzi
 
Nilipojua katika COVID 19 kuna wake zao hao Jamaa nilichoka ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…